Watumishi wengi wa (hw) hatujalipwa mishahara yetu hadi leo. Na inasemekana hela zetu zimetafunwa pale hal'shauri. Ukiuliza hawatoi majibu ya kueleweka. Inasikitisha sana mtu umefanya kazi ila...
Madaktari waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo(Inters) ambao walisitishiwa usajili wao wa muda kutokana na kujihusisha na mgomo wameendelea kuhojiwa kuanzia tar 6. Idadi ya Mwanzo ambayo imeanza...
Wakuu habari zenu
Nilikuwa nilikuwa naulizia kuhusu hawa mbwa aina ya german sherpherd upatikanaji wao kwa hapa tanzania pili process za kupeleka polisi kwa ajili ya mafunzo...
Ikiwamo na...
I say thank you to Julius k Nyerere kwa kweli nikiona nchi zingine hazina Amani nasema " God may Nyerere soul rest in peace .Pia thank you " Alexander Nyirenda .Wako mbinguni
Kuna uwezekano mkubwa pande mbalimbali za nchi zimekuwa zikiugulia maumivu ya kukosa umeme. Mimi natulia maeneo ya Gongolamboto. Hali ya umeme ni mbaya mno. Umeme unakatika hovyo wakati mwingine...
SATURDAY, DECEMBER 08, 2012
Wadau mnaombwa kuwa makini na Ujumbe unaosomeka hapo chini ambao unaonekana umetoka kwa Balozi wetu Nchini Ufaransa,Mh. Begum Karim Taj.
Ukweli ni kwamba,Mh. Balozi...
Tumekuwa wngi tukisubiri habari za msiba si haba kushukuru mungu kwa habari za furaha pia furahini kwa kila jambo mchana huu dada yangu upendo augustino mfanyakazi wa rwandair amepata mtoto wa...
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za mabasi wamepandisha nauli za mabasi kinyemela, licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kuwapiga marukufu. abiria mbalimabali...
Wanajamvi, kama kawaida yangu huwa siishi uchokonozi!! Leo nimekuja na hili baada ya kulitafakali kwa muda. Wakati zinaanzishwa taasisi hizi tuliambiwa kuwa zipo kwa ajili ya kumsimamia na...
Kuna Tycoon wa Kimasai mwenyeji wa Simanjiro ameuawa kwa kunyongwa akiwa hotel ya Premier Palace jijini Arusha.Hakuna aliyekamatwa mpaka sasa.
Source: mwananchi kutoka eneo la tukio.
Wana JF,
Inasikitisha sana kuona juhudi alizozianzisha Waziri makini Mheshimiwa Dr, Mwakyembe za kuhakikisha usafiri wa Train unaanza kwa mara ya kwanza katika Jiji la DSM zikianza kuhujumiwa kwa...
Juzi tuliona jinsi mwakyembe alivyokurupuka na kuwakamata kina marystella minja kuwa wameiba sijui bandarini
Ukweli ni kwamba nilivyoona ile habari nikagundua kuwa kuna watu wamechoma ile inshu ...
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madhara makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbizwa Kibosho...
Ili kudhibiti udanganyifu katika usajili wa wanafunzi shuleni, serikali kupitia Wizara ya elimu na Mafunzo ya Ufundi imewazuia wanafunzi walioko Kidato cha Pili ambao hawana TSM 9 fomu kutofanya...
Kitu kilicho nisononesha na kuniumiza 2012 ni hiki hapa.
UFAFANUZI KUHUSU FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.
Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho...
hapa kivukoni tunanyanyasika sana sana sana,yani unakaa foleni ya kivuko two hrs,bado magari mengine yanapita pembeni na askari wanaona wanaochomekea,na wengine wanapata sapoti ya askari...
Ha ha ha e bana eee! kumbe ubepari ni noma, yale mambo ambayo wazungu walikuwa wanawafanyia babu zetu wakati wa ukoloni bado wanaendelea nayo ndani ya nchi zao kwa raia zao. Hakiya nani utumwa...
reasons to not visit TANZANIA
1. Malaria
The whole of Tanzania is malarial and virtually all international visitors take anti-malarial prophylaxis and other precautions. If...
Details
Imechapishwa Ijumaa, 07 Desemba 2012
07:45
Imeandikwa na John Mhala, Kibosho
Imesomwa mara: 811
PAROKO wa Parokia ya Mkombole ya
Kanisa Katoliki, aliyetajwa kwa jina moja la
Ephraim...