Hatulipwa mishahara hadi leo.

pedas

New Member
Apr 3, 2012
2
0
Watumishi wengi wa (hw) hatujalipwa mishahara yetu hadi leo. Na inasemekana hela zetu zimetafunwa pale hal'shauri. Ukiuliza hawatoi majibu ya kueleweka. Inasikitisha sana mtu umefanya kazi ila kupewa chako inakuwa tatizo. Na hii wilaya inaongoza kwa kunyanyasa watumishi hasa kwenye malipo (malimbikizo). Wanasingizia mtandao ndio uliondoa majina kwenye payrol, je, wenzetu huko vp mmepata tatizo km hilo kwa baadhi ya watumishi?
 
Wilaya gani hebu edit vizuri ili wahusika ama mabosi wao wakipitia uzi wajue ni wapi,,usifiche uchi kwa sababu hautazaa
 
Taja jina,hakuna wa kukupiga mkuu.Pole sana lakn.Huo ni Uhuni,wanapeleka Fixd Acc.Piga kunji mpaka kieleweke.Kama ni mwl.Naici weng wenu hawatawaunga mkono,tena Halmash.!(Unconscious group.)Ver paining
 
Back
Top Bottom