Tahadhari: Email ya Balozi Begum Karim Taj imeibiwa

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,780


SATURDAY, DECEMBER 08, 2012

Wadau mnaombwa kuwa makini na Ujumbe unaosomeka hapo chini ambao unaonekana umetoka kwa Balozi wetu Nchini Ufaransa,Mh. Begum Karim Taj.

Ukweli ni kwamba,Mh. Balozi hajatuma ujumbe huu na wala hajui chochote juu ya Ujumbe huu,kwani email yake imeibiwa.

hivyo kwa yeyote alietumiwa ujumbe huu,asije kuingia mkenge wa hawa jamaa.

======== =========

Hello,
This message may be coming to you as a surprise but I need your help.Few days back my family and I made an unannounced vacation trip to LONDON, UNITED KINGDOM. Everything was going fine until last night when we were mugged on our way back to the hotel. They Stole all our cash,credit cards and cellphone but thank God we still have our lives and passports safe. The hotel manager has been unhelpful to us for reasons I don't know. I'm writing you from a local library.​

I've reported to the police and after writing down a statements that's the last I had from them. I contacted the consulate and all I keep hearing is they will get back to me. Our return flight leaves soon...I need you to help me out with a fast loan to settle our bills here so we can get back home . I'll refund the money as soon as we get back. All i need is 1,450 Pounds Let me know what you can do so I can tell you how to get the money to me.

Thanks.

Ambassador Begum Karim Taj,
Embassy of Tanzania,
13 Avenue Raymond Poincaré,
75116, Paris,
France.

SATURDAY, DECEMBER 08, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,780

Kama ni HIVYO bas balozi zetu zote zinahitaji IT SPECIALIST... LOL
 
Nov 25, 2011
31
7
Watakuwa jamaa wa Afrika Magharibi hao ndo wamefanya hako kamchezo. Lakini na wa Tz nao siku hizi wameanza hako kamchezo, hasa hasa kupitia facebook. Wanatumia picha za wasichana warembo ili kumvuta mtu. Ukishaingia kwenye mtego, wanasema wana njaa; uwatumie pesa kwa tigopesa, m-pesa, airtel money, etc. Ukichunguza majina yaliyoko kwenye facebook ni tofauti na ya kwenye namba za simu. Funny enough wanajifanya ni "female students" wa UDOM!!!!
 

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
4,975
2,719
...Labda Hao Wakubwa wenzake Huko. Kwa kanuni za kawaida tu cha kwanza nitakachojiuliza ni /Balozi ananijuliwa Wapi Mlalahoi Mimi hadi Anitumie Ujumbe wa Kuomba Msaada'! Jibu lako litaenda sambamba na kui-delete sms hiyo...!
 

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,039
3,588
Kazi ya kuajiri watu baada ya kuvuana chupi ndio niyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom