MWANZO
HAPA KAZI, MATARAJIO NA MATUMAINI YA WANANCHI
DHANA YA 'MABADILIKO' DHIDI YA KIU YA WANANCHI
Awamu ya 5 na miezi 2. Ni muda mfupi kutathmini utendaji/ufanisi ikizingatiwa changamoto...
Isangula KG
Imekuwa kawaida yangu nipatapo fursa kidogo najaribu kutafakari mambo kadhaa yanayogusa Nchi yetu ama dunia kwa ujumla. Japo wasomaji wanaweza kujikuta wananufaika kwa busara hizi...
Kama ilivyo kawaida yangu nipatapo muda kidogo nakuja kujisemea (talking to myself) hapa kwenye ukuta wangu.
Hivi karibuni nimeona video ya mchungaji mmoja akielezea umuhimu wa vijana waishio...
Katika mchezo wa mpira wa Miguu timu pinzani inapopungukiwa wachezaji uwanjani huleta ahueni kwa mashabiki wa timu ya waliyo wengi. Ipo kasumba kwamba kupungua idadi ya wachezaji uwanjani...
Ili taifa lolote liendelee haina budi watu wake wawe na nidhamu. Kukosekana kwa nidhamu katika taifa ni hatua moja kubwa kwa taifa lolote kujinyima maendeleo yake. Na sisi kama taifa ni lazima...
Historia ni mwalimu mzuri sana, hutufundisha mambo mengi sana ambayo tunapaswa kujifunza kutokana nayo, Kwahakika hatupaswi kupuuza historia. Kama ilivyowahi kunenwa kama hujui ulikotoka, kamwe...
Kwa kipindi sasa nimekuwa sionekani humu jamvini. Kimya changu kingi hakikuwa cha bure. Bali nimeendelea kujielimisha katika mazingira Magumu na kame.
Kwa mti au mmea wowote ili ukue unahitaji...
Maandamano ya Serengeti
Kifupi:
Mfalme Tembo anaogopa kunyang'anywa madaraka na Simba. Atumie njia gani? Labda amuombe Muumba awafanye wanyama wote wale majani. Lakini Muumba atakubali? Bundi...
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisoma Kitabu cha Ujamaa cha Julius Nyerere, na ni mengi ninajifunza tena na kubaini kuwa Mwalimu aliandika vision ya kutujenga kama Taifa hata kabla ya Azimio la...
Nadeclare interest.
Mamlaka husika zimetoa Kalenda ya Elimu: siku ya kufungua shule; siku ya kufunga shule; likizo fupi; likizo ndefu; siku za mitihani na kadhalika. Lakini zipo shule zinazopuuza...
Hadithi Hadithi!
Baada ya kuhitimu shule ya msingi nilifanya kazi za uvuvi kwa miaka mitatu.
Kisha nilisoma kozi za FETA za Refrigeration and Air conditioning. Nilianza na National Vocational...
Nalazimika kurudi nyuma kuanzia mwezi May mpaka August ya 2015, wakati wa mchakato wa kutafuta wagombea Urais kwa vyama vya siasa, hususan Chama "Tawala" Chama cha Mapinduzi.
Nikitafakari hali...
Dodoma. Hakuna ubishi kwamba mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma.
Uamuzi wa kuhamishia mji mkuu Dodoma ni wa kupongezwa.
Lipo hitaji la kuweka historia sawa, kwa vile vyombo vya habari, hata vile vya...
Wana JF,
Nikiwa nimesomea Uhandisi ujenzi wa barabara ingawa sipo kwenye ujenzi tena, nimelipokea kwa furaha sana tangazo la serikali kuwa hatimaye wanahamishia DODOMA Makao Makuu ya taifa la...
I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining...
CHANZO: mtandao wa intaneti
MAONI :
1. Sera ya taifa ya elimu inapendekeza mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aandikishwe shule ya awali.
2. Sera zinataka elimu ya sekondari iwe ya lazima...
Tanzania tunaomba mfundishe coding kwenye mashuleni na kama hatuna walimu wa kutosha tuombe msaada kwa India. Kazi nyingi zijazo hasa kwenye engineering, design, accounting ... na ubunifu...
Awali ya yote natangaza nina maslahi na hifadhi ya jamii. Pili, mimi siyo mwanasheria. Kwa hiyo inawezekana nimeelewa isivyo. Na, tatu: haya ni maoni binafsi yenye lengo la kuboresha nia njema ya...
President Nana Addo Dankwa Akufo-Addo’s remarks at a meeting with French President Emmanuel Macron have left many praising him.
Find below 12 of the statements he made at last Thursday’s meeting...
Inavyoonekana pamekuwa na mkanganyiko wa kudahili wanafunzi vyuoni mwaka huu 2017/18. Baadhi ya wanafunzi wamepata admission nyinginyingi kutegemea ufaulu wao, wakati wengine wamekosa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.