Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us
Tunachofikiri ndio tunachozalisha. Sisi ni zao la akili na mawazo yetu wenyewe. Aina ya taifa letu ni zao la mawazo yetu wenyewe liwe zuri au baya. Taifa hili tutalijenga kwa akili zetu wenyewe...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunahitaji kiongozi ambaye sio mwenye makuu na mwenye kutaka sifa, Sio muonevu na asiyependa haki, bali atakayetawala kwa haki na usawa. Lakini pia asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali. Kwasababu...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia...
12 Reactions
1 Replies
21K Views
Nini kingetokea iwapo kingesikilizwa kilio cha "Nataka Pesa Zangu Zote wakati wa kustaafu"? Karibu tukokotoe. Tukubaliane *dhana* za awali: *Fungu A.* Mshahara kwa mwezi wakati wa kustaafu...
7 Reactions
2 Replies
6K Views
My verdict of the 27 ward by-election results: CCM is stabilising, CHADEMA is shrinking and CUF is disappearing Dr Kitila Mkumbo In November 2012 I wrote an article entailing my assessment of...
27 Reactions
51 Replies
15K Views
1. Inapotokea dharura au maafa, mtu wa kwanza kuokoa maisha yake ni... Wewe mwenyewe. Haileti maana kuongeza idadi ya wahanga kwa kuacha kuchukua tahadhari muhimu za lazima kulinda maisha yako...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Siasa za uongo na ulaghai zimeichukua taifa letu, lakini bado tunafikiri kwamba tumesimama katika sehemu imara, na ya kwamba miguu yetu kwamwe haitoteleza. Tunajidanganya. Hatuwezi kujenga taifa...
11 Reactions
0 Replies
2K Views
Kitu cha msingi ambacho nataka watanzania muelewe ni kwamba jambo la kimsingi ambalo tunapaswa kulipigania ni uhuru wetu. Uhuru wetu dhidi ya mataifa mengine (mabeberu) and their influence upon...
6 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali ambayo watu ndio focus ya utawala wao, sio madaraka, sio kujikusanyia mali na tajiri, sio kutafuta sifa na utukufu but truth and justice ni msingi wa taifa lolote imara. Serikali ya...
14 Reactions
0 Replies
3K Views
President Trump is facing a test to his presidency unlike any faced by a modern American leader. It’s not just that the special counsel looms large. Or that the country is bitterly divided over...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Mtu ambaye hawezi kuongoza mawazo yake vyema na kuwaza mawazo mema pekee bali akili zake zimejawa na mawazo mema na mabaya ni sawa sawa na gulio ambalo kila kitu kinauzwa humo, Humo utakuta...
27 Reactions
1 Replies
5K Views
Disclaimers: Haya ni Maoni BINAFSI. All interests declared. All due respect accorded. Emphasis added. Some mistakes MIGHT have been made while referring to the Bill. AWALI: Pongezi nyingi kwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Awali ya yote naipongeza serikali kwa kuimarisha mfumo wa malipo ya kielektroniki serikalini. Kinachokera ni pale unapoenda afisi ya serekali na kuambiwa kalipie benki: wanakulazimisha uende...
11 Reactions
9 Replies
9K Views
Hili ni swali la kimsingi la kujiuliza! Je sisi tumeendelea na kwa kiasi gani? Taifa litaitwa limeendelea ikiwa watu wake wana uwezo wa kutengeneza au kugundua wao wenyewe na kisha kujitegemea...
18 Reactions
0 Replies
3K Views
Suala la upendo wa mtoto kwa mzaziwe ni la kimaumbile (nature) kwani mtoto ni damu ya mzazi, hivyo upo mvutano halisi na wa kiasili ambao kwao dhana ya upendo imejengwa kama uwezekano ila haijawa...
11 Reactions
0 Replies
3K Views
Napenda kuomba radhi mwanzoni kitu nilichokuwa nimedhamiria hakikuweza kuwafikia kama nilivyotaka badala yake yalitokea maandishi mafupi tu, yasiyo na tafakuri yeyote. Hata hivyo hii hapa chini...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Tuna bahati kubwa sana ya kupata ma First Lady kutoka taaluma ya ualimu. Kutoka mama Maria Nyerere, mama Salma Kikwete na sasa mama Janet Magufuli. Wanapoingia Ikulu ni wazi kuwa wanakuwa na...
7 Reactions
4 Replies
7K Views
Kama kawaida niwapo safarini napata fursa ya kujisemeza (talking to myself) kama njia ya kuzianika fikra zangu.Natambua pia kwamba zipo topics ambazo zimejengewa kingo kifikra kwamba hazipaswi...
15 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom