Mji Mkuu wa Tanzania ni ...

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Dodoma. Hakuna ubishi kwamba mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma.

Uamuzi wa kuhamishia mji mkuu Dodoma ni wa kupongezwa.

Lipo hitaji la kuweka historia sawa, kwa vile vyombo vya habari, hata vile vya umma, haviko imara kutamka Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania. Jambo hili linaweza kusababisha wanahistoria wa miaka ijayo wakapata changamoto ya kuripoti kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom