Maandamano ya Serengeti

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Maandamano ya Serengeti

Kifupi:
Mfalme Tembo anaogopa kunyang'anywa madaraka na Simba. Atumie njia gani? Labda amuombe Muumba awafanye wanyama wote wale majani. Lakini Muumba atakubali? Bundi anasema,
"Sijui, labda kwa maandamano ..."
Je Tembo atafanikiwa?

Nukulu:

"Taarifa zilifika kwa kila mnyama, ndege na wadudu. Kila aliyesikia alimwambia mwenzake, kila mmoja kwa tafsiri yake mwenyewe. Alimradi kila mnyama alijiandaa kwa maandamano. Wengine waliandaa mabango yenye madai maalum..."
~ Maandamano ya Serengeti, ukurasa wa 8.​


"Wanyama wote walipiga kelele,
"Kwa nini tukimbie ndipo tupate chakula," alisema Tembo.
"Kwa nini tule makombo?" alisema Simba.
"Kwa nini tule majani?" alisema fisi.
Kila mnyama alisema lake..."
~ Maandamano ya Serengeti, ukurasa wa 9.​

"Ikatokea vurugu na zogo kubwa..."
~ Maandamano ya Serengeti, ukurasa wa 12​

Kuhusu Maandamano ya Serengeti:

Jina la Kitabu: Maandamano ya Serengeti
Mwandishi: Fanuel Mlenge
Mchapishaji: E & D Ltd
Lugha: Kiswahili
ISBN: 9789987411016 / 9987411010
© Fanuel Mlenge, 2004.

Maandamano.jpg
Jalada la Mbele

/Shameless promotion
 
Back
Top Bottom