Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us
Kule kwetu kuna msimu wenyeji hutafuta kitoweo cha panya. Utafutaji wa kitoweo hiki huhusisha kuchoma msitu ili kuwafukuza panya na baadye kuwakamata wanapokimbia kutauta kujiokoa na moto...
12 Reactions
0 Replies
3K Views
Baada ya 'kiza' cha siku kadhaa katika mtandao, tutakuwa na mabandiko yakiangalia uchaguzi uliomalizika Kwa kutambua hatma ya taifa letu ni yetu sote. Mtazamo wetu upo wazi kujadiliwa kwa maono na...
4 Reactions
135 Replies
28K Views
MAFISADI WA VIPATO VYAO Na Kahabi wa Isangula Kila ninaposikiliza hotuba za wanasiasa zote zimejikita kutuaminisha kuwa Serikali ndiyo tiba pekee ya matatizo yetu ya maendeleo ya kiuchumi...
12 Reactions
0 Replies
4K Views
Katika taifa letu siku za hivi karibuni, watu wamekuwa wakiongelea kuhusu mabadiliko. Mabadiliko ndilo limekuwa neno ambalo liko katika vinywa na mioyo yao. Watu wamekuwa wakiliongelea kwenye...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo ningependa tujadili kitu kimoja ambacho nimekipata kwa jitihada kubwa, katika kutafakari na kusoma, katika kufanya jitihada kujua mambo na katika kufungua milango ya ufahamu wa ubongo wangu...
23 Reactions
0 Replies
4K Views
FIKIRISHI ZA NGUMBALU 02: Baada ya kukupa kisa cha mkulima na sekeseke la Magugu Shambani, leo nakulete kisa kiitwacho Mkenge wa mfotoa picha na Kamera ya Nyumbani. SASA ENDELEA.... Yule...
6 Reactions
0 Replies
5K Views
Leo ningependa kuendelea kujadili jambo ambalo nimekuwa nikijadili kwa muda mrefu sana kuhusu maadili na nidhamu. Lakini leo nitajikita katika dhana yenyewe ya maadili na nidhamu na nitaongelea...
6 Reactions
27 Replies
27K Views
Fikirishi za Ngumbalu 01 Palitokea mkulima aliyerithi shamba toka kwa babu zake wa kufikia baada ya kupiga kelele kwa majirani wa mbali pale alipochoka kuwafanyia kazi mababu hawa kama kibarua ...
10 Reactions
0 Replies
4K Views
Isitokee hata siku moja tukafikiri watu kutoka nje watakuja kujenga umoja wetu na kuliletea maendeleo taifa letu, Kama tumeshindwa kujenga umoja wetu huku ndani, hakuna mtu, au taifa lolote...
18 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa wenye hekima maisha ni fumbo ambalo linapaswa kufumbuliwa. Na Dunia ni chuo ambacho binadamu anatakiwa kujifunza kila siku ili kufikia ukuaji wake wa mwisho kiakili. Chuo hiki ni kikubwa...
10 Reactions
0 Replies
3K Views
Hayati Mwalimu Nyerere ni Muasisi wa Taifa hili, ni raisi wa kwanza na ameifanyia makubwa nchi hii,. Lakini Yeye mwalimu si muasisi pekee wa nchi hii na wala hakuijenga peke yake. leo hii...
7 Reactions
11 Replies
8K Views
"..Serikali ninayoiongoza, ilichaguliwa na masikini...Kama matajiri walifikiri nitakuwa upande wao basi wamenoa. Mimi nilichaguliwa na masikini na nitawatumikia masikini na si matajiri."-Rais John...
14 Reactions
3 Replies
6K Views
Kazi ya Mungu ni ya kiwango cha juu zaidi ya Kazi ya mikono ya binadamu. Ushahidi wa hili uko dhahiri machoni petu. Hata zile Kazi tunazoita zetu sio zetu. Kwasababu Mungu ndiye aliyetuumba na...
5 Reactions
0 Replies
3K Views
Nidhamu ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu. Nidhamu humpa uwezo binadamu kuongoza mawazo yake na matendo yake katika mkondo unaofaa. Uwezo huu umfanya binadamu kutawala maisha yake...
27 Reactions
2 Replies
6K Views
Tunapokua ni lazima ukuaji wetu uambatane na hekima na busara. Kwasababu binadamu sio ukuaji wa mwili tu bali pia ukuaji wake wa kiakli. Ukuaji wa binadamu sio kurefuka tu au unene au kutoka...
23 Reactions
0 Replies
4K Views
Moja ya vitu vigumu sana ambavyo napambana navyo na pengine labda sio mimi peke yangu na watu wengine ni subira. Wote tuna matarajio na matamanio ambayo tungependa tuyakamilishe. Matarajio haya...
11 Reactions
0 Replies
3K Views
Kilichotokea kimetokea huwezi kukibadilisha. Jukumu tulilonalo ni kujenga baadae mpya yenye matumaini na faraja. Kila mtu anapaswa kufahamu hilo. Ni lazima tufundishe akili zetu kutafakari na...
32 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni swali wanalojiuliza watu wengi, baada ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kumtangaza Dk. Ali Mohamed Shein, kuwa mshindi wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom