Kijana anapokua anatakiwa kutayarishwa ili akue kiakili . Aweze kutimiza majukumu yake katika familia yake lakini pia aweze kutimiza majukumu katika jamii yake na taifa lake.
Ni wajibu wa jamii...
Kitu kibaya binadamu anachoweza kufanya ni kutumaini mambo mabaya kutokea kwa binadamu mwenzake, badala ya kumuombea kheri. Kwa kumuombea kheri na wewe pia unajiombea kheri. Kunasababu gani ya...
Tutakapoanza awamu ya tano ya uongozi Tanzania, nitarudi hapa kutaka tujadili sifa za viongozi wa siku sijazo kwa kuangalia vigezo hivyo. Sasa hivi siyo wakati mzuri kujadili mambo hayo.
Ni MUHIMU kuheshimu kila mtu Mipaka yake. Tusivuke mistari. Kuna mambo yanayotuhusu sisi tujishughulishe nayo hayo. Tusiingilie mambo ya wengine. Ingawaje wakati fulani tunakuwa sahihi na...
Binadamu na utukufu wake wote au uovu wake wote, mwisho wake ni kifo. Wote tutazikwa kule, Maskini kwa tajiri kifo hakichagui. Kinatenda haki kwa wote.
Muda wetu wa kuishi duniani ni mfupi mno na...
Dunia ni chuo kama tunaishi kila siku tunajifunza. Toka tunazaliwa tunajifunza. Kwanza tunajifunza kutambaa, kisha kutembea, kusimama na kuongea, alafu tunajifunza mahusiano yetu na wengine...
MOJA YA KURASA YA KITABU CHA KIU YA UZALENDO AMBACHO NILIANDIKA MWAKA 2013
Lakini kwanza ni kwa jamii zetu kuwa na nidhamu, mpangilio na utaratibu. Maendeleo kama maendeleo ni matokeo ya kazi na...
Nadhani badala ya kumshangilia Raisi Magufuli kwa hatua anazochukua katika ukusanyaji na udhibiti wa kodi na matumizi yasiyo ya lazima katika serikali. Ambalo ni jambo la kimsingi . Tujue kwamba...
Uongozi ni sehemu ya mahusiano ya watu. Huwezi kuwa kiongozi mzuri kama huna maarifa katika mahusiano ya watu. Hiki ni kionjo muhimu sana katika uongozi. Watu wengi wanapungukiwa nacho. Ili uwe...
Katika mambo ambayo binadamu anatakiwa kulinda ni uhuru wake wa kutoa maoni na jinsi anavyoyaona mambo kwa upande wake.
Uhuru huu ni msingi muhimu sana kwa jamii yeyote huru. Mtu anaweza kuwa na...
Maendeleo ya binadamu yanategemea sana watu. Watu ndio resource kubwa sana ambayo taifa lolote linalo, Kwa kiongozi mwenye akili atajua jinsi ya kutumia watu vizuri ili kujiletea maendeleo...
Ulaya na marekani wamehangaika sana katika uvumbuzi , swali la kujiuliza upande wetu huku Afrika wajibu wetu nini kwa sasa? Muelekeo wetu ni upi?
Ni kweli kwamba kwa vumbuzi zao wameturahisishia...
Leo siongei sana naongea kitu kifupi mno kwa wenye akili watanielewa. Ni kitu gani kinachofanya mataifa kuwa makubwa na kutawala mataifa mengine?
Ni uwezo wa mataifa hayo ku ''create'' ...
If you read Animal Farm by George Orwell, then you know how the 7 emancipation commandments were changed by the pigs, lead by Napoleon, after they came to power.
1. Before : Whatever goes upon...
Habari wana JF,
Kawaida kama wanadamu huwa tunakuwa na matarajio ya vitu mbali mbali, na matarajio hayo huegemea tokana na viashiria vinavyowezesha haya matarajio ku materialise. Tumetofautiana...
Hamu kubwa ya kupata maarifa na ufahamu wa mambo ni jambo lililofanya mataifa ya ulaya kukua.
Bila maarifa hakuna jamii itakayopiga hatua kimaendeleo. Jamii yeyote itakapoanza kuheshimu...
Haihitajiki kusubiri Jumatatu ya October 26 kuanza kutafakari Uchaguzi wa 2015. Matokeo ya uchaguzi kwa sisi wengine si kigezo sana tena cha kuona ni upande gani wa njia panda tunachukua kama...
kuna habari ambazo zinatumwa katika mitandao ya kijamii kuwa mawakili wa cdm/ukawa wapo uholanzi kufungua kesi kuhusu uchaguzi huu na namna ccm ilivyobaka demokrasia, sasa naomba wataalam wa...
Wasalaam wakuu.
Nianze kutoa pole kwa wafuasi/wanachama na waumini wa Upinzani wa kweli nchini bila kujali itikadi za vyama vyao. Pole zaidi zikiwa kwa wanaUKAWA lakini pia wanaCCM walioshindwa...
Wasalam wanajamvi!
Heka heka za viongozi kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine zinaendelea.
Tofauti na miaka ya uchaguzi iliyopita mwaka kuanzia mwaka1995 hadi mwaka 2010, mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.