Watch "Maendeleo na Gunduzi" on YouTube

Mkuu wangu Shayu, nadhani kuna haja ya kujiuliza tena, IPI HASA NI TAFSIRI SAHIHI YA MAENDELEO. Kwa hii tuliyonayo leo sioni namna gani inaishi. Binadamu hajawahi kuishi pasi kufanya ugunduzi, tunajiuliza sasa, aje ugunduzi wa mwanzo haikujengwa tabaka la masikini na tajiri hali huu wa sasa sivyo?
 
Tafsiri ya maendeleo ina maana nyingi lakini naamini chanzo cha maendeleo haya ya kimali ni enlightment. Kwahiyo ili tuendelee lazima kuwepo na ukuaji wa akili na maarifa. Huwezi kuzalisha kama huna maarifa. Tatizo letu tumekuwa watu wa kupokea tu maarifa na hivyo kupitwa na maendeleo. Kwahiyo enlightment hailetwi kwa kuingia darasani pekee bali kwa kujihudisha kwenye kutafakari. Kadiri unavyotafakari ndio ukuaji wa akili unavyokuwa. Ndipo evolution of consciousness inavyofanyika na hii husaidia sana katika gunduzi.

Tujiulize miaka ya hamsini ya uhuru mpaka sasa ni barabara ngapi tumejenga kwa kutumia ma engineer wetu wenyewe? Ni vitu vingapi tunafanya wenyewe? Maendeleo kama umiliki wa vitu siku zote huendana na ugunduzi. Watu waliogundua ndio watu waliofanikiwa kuendelea. Watu wanaojihusisha katika kufikiri na kutatua changamoto zinazowakabili ndio wanaoendelea. Je ni kwa kiasi gani tunajihusisha katika kufikiri?

Kwahiyo maendeleo yana uhusiano mkubwa na maarifa na uwezo wa ukuaji wa akili za watu. Na hatuwezi kusema tunajitegemea kama tutashindwa kutengeneza vitu vyetu wenyewe kwa kuzalisha wataalamu wenye ubora na ufanisi. Na hatutaweza pia kumiliki uchumi wetu.

Tuna tatizo hilo katika Afrika na katika taifa letu. Tunajisifu na mali asili lakini kuendelea kwetu kunategemea sana watu wetu wana akili kiasi gani ku transform maliasili hizo kuwa vitu useful na hii inahitaji technologia. Ambayo hupatikana kwa kufikiri na kufanya gunduzi.

Tujiulize miaka ya hamsini ya uhuru mpaka sasa ni barabara ngapi tumejenga kwa kutumia ma engineer wetu wenyewe? Ni vitu vingapi tunafanya wenyewe?

Maendeleo kama umiliki wa vitu siku zote huendana na ugunduzi. Watu waliogundua ndio watu waliofanikiwa kuendelea. Watu wanaojihusisha katika kufikiri na kutatua changamoto zinazowakabili ndio wanaoendelea. Je ni kwa kiasi gani tunajihusisha katika kufikiri?
 
Tafsiri ya maendeleo ina maana nyingi lakini naamini chanzo cha maendeleo haya ya kimali ni enlightment. Kwahiyo ili tuendelee lazima kuwepo na ukuaji wa akili na maarifa. Huwezi kuzalisha kama huna maarifa. Tatizo letu tumekuwa watu wa kupokea tu maarifa na hivyo kupitwa na maendeleo. Kwahiyo enlightment hailetwi kwa kuingia darasani pekee bali kwa kujihudisha kwenye kutafakari. Kadiri unavyotafakari ndio ukuaji wa akili unavyokuwa. Ndipo evolution of consciousness inavyofanyika na hii husaidia sana katika gunduzi.

Tujiulize miaka ya hamsini ya uhuru mpaka sasa ni barabara ngapi tumejenga kwa kutumia ma engineer wetu wenyewe? Ni vitu vingapi tunafanya wenyewe? Maendeleo kama umiliki wa vitu siku zote huendana na ugunduzi. Watu waliogundua ndio watu waliofanikiwa kuendelea. Watu wanaojihusisha katika kufikiri na kutatua changamoto zinazowakabili ndio wanaoendelea. Je ni kwa kiasi gani tunajihusisha katika kufikiri?

Kwahiyo maendeleo yana uhusiano mkubwa na maarifa na uwezo wa ukuaji wa akili za watu. Na hatuwezi kusema tunajitegemea kama tutashindwa kutengeneza vitu vyetu wenyewe kwa kuzalisha wataalamu wenye ubora na ufanisi. Na hatutaweza pia kumiliki uchumi wetu.

Tuna tatizo hilo katika Afrika na katika taifa letu. Tunajisifu na mali asili lakini kuendelea kwetu kunategemea sana watu wetu wana akili kiasi gani ku transform maliasili hizo kuwa vitu useful na hii inahitaji technologia. Ambayo hupatikana kwa kufikiri na kufanya gunduzi.

Kwahiyo umaskini au utajiri wa nchi unahusiana na gunduzi anazofanya na uzalishaji wake. Kwasababu utajiri unahusiana na umiliki wa vitu na kama huzalishi na hugundui huwezi kuwa tajiri. Kwakuwa binadamu mwanzo alizaliwa maskini hana kitu zaidi ya akili yake tu na ndio iliyofanya mapinduzi yote tunayoyaona. Tuko nyuma sababu hatufikiri na kuzalisha na hatuna maarifa ya kutosha.
 
Kujibu swali lako kuhusu matabaka yalikuwepo tu na lililowatenganisha kati ya jamii moja na nyingine ni gunduzi. Maskini wapo na wataendelea kuwapo.
 
Back
Top Bottom