Stori: Shani Ramadhani
STAA Jacqueline Wolper Massawe, ambaye ni muigizaji mahiri wa filamu, amewapiku nyota wenzake wa tasnia hiyo baada ya kufanya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Jumamosi...
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
Ukarimu wako (Bwana), na...
Only days after they were voted this years Best African Act at the MTV Europe Music Awards, Kenyan boy group Sauti Sol have been announced top royalty earners in a statement released by the...
Kiukweli ukiusikiliza huu wimbo ni fundisho tosha kwa maisha ya sasa hasa viongozi wetu. Nenda waptrick , search kisha download halafu sikiliza tenzi za huyu jamaa yaani utafikiri hawa viongozi...
Mnamo mwaka 1993. Mwanamuziki kutoka DRC , Aurlus Mabele, na bendi yake ya LOKETO, walitoa wimbo ujulikanao kama EVELYNE.." Baadhi ya maneno yanayo patikana katika wimbo huo...
Nimehangaika kwa muda mrefu kuzisaka nyimbo za omary kopa mtandaoni ila sijafanikiwa kudownload hata moja kwani natumia simu,naomba mwenye link ya direct download au aliyenazo azishare hapa...
Habari zenu,, naitwa jayffa ni msanii wabongo flaver!! Nahitaji mtu atakaye weza kunipa support ili niweze kuinuka kimuzki unaweza kunipata 0758082840 ili tuweze kusaidian
Alianza msanii mmoja iaka michache ilopita akaigiza filamu iliyoitwa "SHOGA" na baraza la sanaa likaizuiwa lakini hata iliporekebishwa bado muktadha wake haukuwa na faida kubwa kwa jamii ya...
Pls share: Tazama video mpya ya joh_makini "Najiona Mimi (I See Me)" HAPA -http://youtu.be/g9cB8LVJyro- ikiwa ni kazi ya Director Enos Olik Toka Kenya na Audio mkono wa producer Nahreel, Powered...
Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, mfano ‘Long Walk to Freedom' aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson...
Aisee hivi kile ni nini au ni macho yangu ki ukweli li kipindi halivutii hata kidogo haichekeshi hata kidogo nimeshangaa sana ina maana nyinyi ndo mlikaaa miez kadhaa mkajipanga ndo kmmerudi kwa...
Pls Share: Follow nikkimbishi therealnikkimbishi & download wimbo wa "Tulia" ft Lydia HAPA https://mkito.com/song/tulia-ft-lydia/7512 produced by ringtone toka Street Sound Music powered by...
Mshiriki wa Bigbrother mwaka 2014
Idris Sultan mshiriki wa mashindano ya Big Brother hotshots.Toka Tanzania ameibuka kidedea wa mashindano hayo yaliyokua yakifanyika nchi Afrika Kusini.
Idris...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.