Flora Mbasha huu wimbo ni kwa ajili yako

Flora Mbasha huu wimbo ni kwa ajili yako

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Huu wimbo ulinifanya nikujue wewe...

chorus.
jipe moyo (jipe moyo) utayashindaaaa
saa ya mwisho (saa ya mwisho) vumiliaaa

sasa dah! nimesikia umeenda kisutu! so umeshindwa kufanya kile ulichoimba..

http://m.youtube.com/watch?v=HVzLfePXnAc&itct=C
 
Nsugu jua kuwa kila neno ulisemalo unaweza litenda.
 
Ndoa ya kikristo haiamliwi mahakamani. Bible iko wazi ktk hili. Angefuata maandiko badala ya kudhalilisha dini. Labda katumwa na waislam ili wakristo nasi tuanze kuiomba serikali iruhusu na kuingiza kwenye utaratibu wa serikali mahakama za kikristo
 
Yeye na mme wake ni wasaka tonge tu .....Na hilo li Mchungaji lao hilo nalo ndio kabisa li mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondooo!!!
 
Kuna wimbo mmoja wa kwaya unaitwa "mchanganyo" kama sikosea. Haiingii akilini pale mwimbaji wa injili unapoenda kuimba kwenye majukwaa ya siasa. Hili tu lilitosha kabisa kuonyesha kua hawa watumishi wito wao umeingiliwa. Kufikishana mabarazani ni matokeo tu ya kuruhusu wito wao kuingiliwa. Lakini hawa nao ni wanadamu kama wengine tuwaombee.
 
Back
Top Bottom