Wakuu,
Heshima mbele.
Nimemaliza kuiangalia filamu ya vichekesho ya wamarekani iliyotengenezwa na kampuni ya sony. Filamu hii inahusu kipindi cha tv ambacho kilijizolea umaarufu mkubwa Marekani...
Ni majira ya saa kumi kasoro jioni nikitoka zangu Arusha narudi zangu Dar ninapoishi.. Kutokana na ugumu wa maisha, nimebakiwa na shilingi 3,200 tu mfukoni hapo nikiwaza chakula cha jioni pamoja...
'Habarini wana wa jamvi hili.
Nilifikiria nitupie jukwaa la lugha ila nikaona yafaa iwe hapa ila hata kama ni mtaalam wa lugha pia si mbaya kama utaweza kunifumbua macho nami nikafaham maana...
MASHAIRI YA YOUNG KILLER - DEAR GAMBE.
VERS 1;
Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu vp...
Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!
Sasa ninyi...
Jamani imefika wakati kuangalia vipaumbele vyetu japo msisitizo upo kwenye soka tusisahau vipaumbele vyetu na fani ipi angalau imeonyesha kutukubali! Pasi shaka burudani ama kwa kuigiza ama...
leo weusi wameachia remix ya gere ikiwa na wakali kibao wa Africa Mashariki.
Link hii hapa download then tupia comment
https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad...
Kuna wimbo wa band fulan ckumbuk, unamaneno anaanza Muumin Mwinjuma,
"Petro alimkana bwana Yesu mara tatu,kabla jogoo hajawika,
lakin petrooo alisamehewa,
Kosa langu lipi dada lisilosamehewa...
Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,
Mi binafsi nazipenda sana love story zao na hii ndo orodha ya movie ninazopenda mimi.
1.Ghajin (Amir Khan)
2.Vaada (Arjun Rampal)
3.Fanaa (Amir khan)
4.Akele Hum Akele Tum (Amir Khan)
5.kuch...
Za kwangu ni.
1.Blacklist..tarehe 1 feb.
2.Suits.......tarehe 29 feb
3.Viking.....tarehe 19 jan
4.Banshee. tarehe 09 jan
5.24............ tarehe 21 jan
6.Gotham....tarehe 05 jan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.