Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Nimetazama hii video ya Diamond & Yemi Alade wakiwa na coke studio na binafsi nimeipenda sana..Imenifanya nifikirie mara mbili mbili kuhusu Naseed Abdul,ceteris peribus(all factors remain constant).
Huyu kijana anajitahidi sana katika kazi yake na nina uhakika hatoishia kufanya kollabo na Yemi ktk coke studio only,nna uhakika kuna kitu watakuwa wamezungumza kuhusu wimbo mmoja wa pamoja,coz ktk coke studio wamefanya poa sana,na hasa hii ngoma ya ukimwona.
Big up Diamond Platnumz kwa kazi nzuri,rekebisha tu katika yale ambayo unaelekezwa,ila you're really a star.
Ukimwona, Diamond Platnumz & Yemi Alade, Coke Studio Africa, Season 2, Episode 7 - YouTube
cc: Dinazarde