Hatimae Miss Tanzania yafungiwa miaka miwili

Hatimae Miss Tanzania yafungiwa miaka miwili

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Habari nilizozipata hivi punde miss tanzania yafungiwa miaka 2,hii inatoka na kuvurunda kwao kwa kumvalisha Taji Seat Mtemvu....
Ngoja nafuatilia nije na nondo za uhakika
 
Siti Mbna Hapelekwi Jela Kwa Kughushi Nyaraka?
 
Ameguswa kada wa CCM kwa kashfa nzito. Lisingeweza kubaki salama shindano husika.

Mzee Tupatupa
 
Back
Top Bottom