Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,190
- 1,308
Kundi la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia rasmi audio ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond Platnmuz. Katika wimbo huo uitwao Alive ambao video yake imefanywa wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo.
Source: bongo5
Download hapa Bracket - Alive ft. Diamond & Tiwa-Savage-Prod by Bongofive - HulkShare
Jaribu kuusikiliza jinsi Diamond alivyotisha humo.
Source: bongo5
Download hapa Bracket - Alive ft. Diamond & Tiwa-Savage-Prod by Bongofive - HulkShare