Huyu Dogo Ni Kinyesi Kibichi Aisee
Ngoma Zake I LOVE U BABY Na CARO
Zinanikamataga Kisana Sana
Ahsante Jigo
Sasa kinyesi kibichi hakishikiki ama? Ha ha
Hahaha...Kivyotevyote
Hashikiki Wala Hakamatiki
kaa Nae Mbali
Ahsante Jigo
chief Swaga Zangu Hizihizi Za Kishamba Mi Ndo NazikubaliSasa ahsante jigo ndio nini?..acha swaga za kishamba wewe kila ukiandika lazima uweke asante jigo ndio nini sasa
chief Swaga Zangu Hizihizi Za Kishamba Mi Ndo Nazikubali
Samahani Kama Inakuboa
Huwa Namshukuru Aliyefanikisha Uandishi!...Au Katika Kabila Lenu NiTusi?
Ahsante Jigo
Hahahaaa umerudia tena
mimi naikubali ngoma yake ya show my money ...aise ni sheeeeeeeeedah...ila nasikia jamaa na davido haziivi chungu kimoja .....
Ni Wizkid wakuu, Jamaa anaweza sana. Na hao wadada wanaoonekana kwenye video zake ni balaa.
Tazama video yake ya In My Bed.