KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,590
- 2,386
leo siku ya xmas nimepoa kwenye Sony bravia yangu naagalia zilizopendwa najisikia raha sana...nyimbo kama Kasongo...Nyakonyako..lipualipua kingkikii akiwa bado kijana..endeleeni kutuletea vitu adimu namna hii..asanteni mmenifanya nijisikie amani sana leo