Coco baby - Diamond azidi kung'ara Nigeria

Coco baby - Diamond azidi kung'ara Nigeria

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
Nyota ya Diamond inazidi kuwaka nchini Nigeria. Wimbo wa coco baby wa Waje aliomshirikisha msanii bilionea Diamond platnumz ndio the most requested song nchini Nigeria kwa sasa.

Hii ni kitu cha kupongezwa na kujivunia kwani tangu bongo fleva ianze imekuwa ndio ndoto tuliyoota itimie. kwa sasa tunawataka kina diamond wengi waongezeke.

source: Vanessa mdee kwenye choice fm
 
Wenye vichefuchefu nauza ndimu kwa hisani ya wamarekanii
 
Diamond is too big to be killed by clouds fm. Clouds fm ombeni msamaha kwa diamond kwa kitendo cha kutaka kumbomoa siku ile ya fiesta lakini mkashindwa vibaya. Huyo Ali kiba wenu yes ni msanii mzuri lakini he is not outward looking, he is too indegenous
 
ile nanii yake ya kuvuma si aliipatia hukohuko kwa "nanah kufour"ambaye anaishi jirani na mto niger "Omakurukuh"
 
Kabana pua mbaya hata alichoimba hakieleweki sema demu na biti na video ndo vikali ila diamond hata asingekuwepo pasingeharibika kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom