Msondo ngoma vs sikinde ngoma ya ukae

Msondo ngoma vs sikinde ngoma ya ukae

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
33
Kuelekea ule mtanange wa nani mtani jembe katika tasnia ya mziki wa dansi la kitanzani, siku ya tarehe 25-12-2014 ndani ya viwanja vya TTC club chang'ombe, ni mpambano mkali kati ya bendi ya msondo ngoma na sikinde ngoma ya ukae,

Ningependa kushare maoni yako ewe mpenzi wa muziki huu,kutaka kujua ni nani haswa ataibuka kidedea katika mpambano huu. Na pia kama kuna yeyeto anaejua website ambayo tunaweza kuusikiliza mziki wa bendi hizi mbili si mbaya akaiweka hapa ili tuweze kupata maamuzi sahihi baada ya jikumbusha miziki yao,

Wadau mnakaribishwa.
 
Hizo bendi hazina mvuto tena maana malegend waliozisimamisha karibu wote wametangulia mbele ya haki
 
sikinde ndio bendi bora ya muda wote, na hakuna bendi nyingine ambayo itakuja kutoa burudani bora kama ya sikinde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom