Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Baada ya kusota akiwa ndani ya kundi la Weusi msanii G Nako ameamua kujiondoa kupitia kupunjwa malipo. Ikumbukwe kuwa kundi hilo lilikuwa linaundwa na Joh Makini, Nikki wa Pili, Bonta, Lord eyes pamoja na G Nako mwenyewe. Lord Eyes alisimamishwa kufanya kazi na kundi hilo baada ya kuwa na tuhuma za wizi wa vifaa vya magari.
Bonta amekuwa akitengwa sana ndani ya kundi hilo kwa madai ya kuwa yupo busy sana na kazi yake "udaktari" kitu ambacho si kweli, kutokana na maendeleo ya teknolojia hata kama watu hawawezi kuonana lakini wanaweza kurecord na kutuma sauti kwa njia ya email kama ambavyo Solothang amekuwa akifanya kazi na wasanii wa bongo japo yupo nje ya nchi.
Kiuhalisia kundi hilo linaundwa na Nikki wa Pili, Joh Makini pamoja na G Nako ambapo G Nako alikuwa akitumiwa kama mpiga show za Weusi na malipo yake yalikuwa madogo saaana hivyo baada ya G Nako kujitoa hilo kundi litaundwa na kaka na mdogo wake.
G Nako amekataliwa na Joh Makini kutumia logo ya Weusi popote pale na ndiomaana katika video mpya ya G Nako (morale) hajatumia tshirt zilizoandikwa Weusi.
WEUSI BYE BYE
BY: BUKU JERO