Kwa wapenzi wa muzik

Kwa wapenzi wa muzik

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Kwa wale wapenzi na wafatiliaj wa muzik kama mimi, kuna dada anaitwa Zahara mwenye nyimbo flan inaitwa Loliwe, kama hukuwa umeisikiliza album yote yenye huo wimbo inaitwa Loliwe hvy hvy nakushauri itafute uisikilize ni ya ukweli sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom