Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hi wadau....... jamani samahani naomba kama kuna mtu anajua kwaya moja au kikundi cha waimbaji waliimba wimbo wa ''amani'' juzi kwenye maazimisho ya miaka 53 ya uhuru. naombeni wimbo au jina la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akiwa nchini Uganda, amechaguliwa kuwa best African entertainer kwenye tuzo za IRAMWA zilizofanyika nchini marekani. Congratulation kwake kwa kuitangaza nchi. source...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Say my name baby! DJ KHALID Say my name baby! DJ KHALID Say my name baby! DJ KHALID Daa hii video wajomba ni shidaaa.
0 Reactions
3 Replies
967 Views
"jambo linalonitisha hivi sasa ni huo mzigo ulio nao. Utafanyaje Sauda. Mimba hyo imeshakuwa kubwa la kufanya hulion,utamwambia nin Mumeo" kwa mwenye jina ama mtunz wa hu wimbo wa zaman tafadhal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
aaaaah!hawa vijana wanastahili pongezi japo sijui hiyo maana ya 'nitakupwelepweta' ...una sifa ya kuogopwa kama defender ...sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko ...sitaki familia ilie kwa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Anaitwa Brina. Amefanya albumiitwayo "Sauti za kiswahili" nyimbo zote ni za kiswahili. Anaimba kwa kiswahili, ingawa yeye mwenyewe haujui kiswahili. KISWAHILI NI LULU. Sikiliza...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu WanaJF, Siku chache zilizopita mashindano ya Miss World yamefikia kikomo huko London, UK, na kushuhudia mlimbwende kutoka nchi ya Afrika ya Kusini akinyanyua taji hilo. Lakini kabla ya hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni maneno ya nyimbo moja ya kale. Nyongeza ya hayo maneno ni."mimba hiyo imeshakuwa kubwa,la kufanya hulion,utamwambia nin mumeo, jambo linalontisha hv sasa, ni huo mzgo ulio nao sauda." Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wanaopiga kura kwa Miss Tanzania waendelee kwa nguvu zote. Kaingia Top Ten Leo, mukiendelea na moto huohuo kuna ushindi hapa ukizingatia Africa wameingia wawili tu, yeye na Miss South Africa..
0 Reactions
109 Replies
22K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani huyu Miss wetu si mchezo, Yamebaki masaa machache, tumpigie kura kwa nguvu zote. PIGA KURA YAKO MARA NYINGI UTAKAVOWEZA. Hii ndo hali halisi hadi hivi sasa, inaonekana matumaini ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://youtu.be/wg8SL3fzC0c Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), wakazi wa Sinza, Dar...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Poll Poll
​ Kipindi cha nyuma nilikua nadhani kila "superstar" ni "role model" hasa nilipokua nafuatilia sana habari za watu mbalimbali maarufu duniani. Tanzania ukitaja Super Star huwezi kumwacha...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa vijana wa zamani. Nazitafuta nyimbo hizi za bendi ya Orchestra Safari Sound enzi za Ndala Kasheba. 1. Mwanakwetu 2. Nifanye nini dunia hii 3. Bakambi Nkela 4. Kupenda ni upofu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Katika miaka ya 90, hii ilikua bora kwangu, https://www.youtube.com/watch?v=jSUSFow70no&list=RDKoz393gAwjQ&index=2 Ipi ilikua yako??? Share... Weekend njema.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Download Into the Woods Full Movie Free https://www.facebook.com/IntotheWoodsDownload P.K. Full Movie Download Free https://www.facebook.com/PKfullmovie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu. Naomba msaada. Kuna wimbo wa zaman sana,kwa mwenye jina la wimbo tafadhali. Wimbo una maneno haya " ngebe na majivuno,umepigwa na kijana mdogo" sjui ni atomic jazz au nan hawa.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom