Kwa habari nilizozipata ni kuwa the lion king, Mr. Never give up, babuu, anajiandaa kulipua makitu baada ya kuwaachia wabana pua akitaka kuona uwezo wa wabwataji! You get to love this legendary...
Hii nimerefer kwa wasanii wengi wakubwa wa hiphop Marekani, wengi wao kama hawajafungwa kwa kesi za umiliki wa silaha kinyume cha sheria basi watakuwa wamehusika kwenye vurugu zilizohusisha...
Hello, everyone! Nice to meet you all. These are our free android games:
Last Guardians: it is a action single game. The world in Last Guardians is submitted by dark forces, leaving only last...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka hii Chorus bila shaka inaweza kuwa na ujumbe flani hasa hasa kutokana na minong'ono ya kuvunjika kwa ndoa yake
Waandaji wa movie wamekamilisha na kutoa trailer ya Fast and Furious 7 ambayo itatoka April 3 2015 watch here https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Skpu5HaVkOc#t=0
Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9.
Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina...
Waungwa niko DRC kwenye jiji la Kinshasa nimefika hapa juzi,, kitu nataka kuwaambia tu kwamba Nasib Abdul aka Diamond anajulikana ,,, ikumbukwe tu kwamba Kinshasa ni tofauti na Goma ninako tokea...
Niko sehem nimepumzika nje ya nchi. Zinapigwa nyimbo kadhaa za Watanzania. Mara unapigwa wimbo wa Ray C mama ntilie. Wale jamaa alioimba nao kiukweli nawakubali sana lakini majina yao hajawahi...
TBC wametangaza Filamu Mpya baada ya Jin Tai Lang Kuisha. Filamu hiyo inaitwa kwa Kiswahili, Maisha ya Mama.
Katika Tangazo lao nimuemona Mama Shaomi, Mwalimu Hu, Bosi wake Mama Shaomi na...
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.
Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo, na kwenye interview niliyofanya naye Wema amesema haya mapya;
1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.