Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salaam wadau...!. Kama mada inavyosema wadau naomba mnisaidie jina la huu wimbo please.............ni soundtrack toka kwenye Final Destination IV. Nimejaribu ku-convert to mp3 ili muweze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yupi una mkubali hapa NTOMBI, PAMELA NKUTHA, AWILO(DRC), MAFULA, YVON CHAKA
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mida hii imetokea nasikiliza kipindi cha Hizi Nazo ya Redio One Stereo. Huyu mchambuzi Rajabu Zomboko ana data za kutosha kuhusu muziki, hasa zamani. Nasikiliza anamuelezea jabali la muziki...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Galaxy New Video Galaxy Tam Tam Please share. http://www.youtube.com/watch?v=Yh_LZ6yu2QM http://www.vevo.com/watch/QMAXQ1500489
0 Reactions
3 Replies
2K Views
INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nilikua sijui kama waturuki waku vizuri kiasi hiki kwenye mambo ya Tamthilia. Kwangu mimi hii ni tamthilia bora kabisa, hongera TV 1 tz kwa burudani hii!
1 Reactions
0 Replies
4K Views
.
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habari Tycoons na Mogul wa Muziki, Nime-attach wimbo hapa kwa yeyote anayeujua anitajie jina lake,nautafuta sana hii audio clip niliu-record redioni ulipopigwa. Thanks in Advance,The Cat.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mjin kuna mamboo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The Boss come this way and give your take. Sauti yake ni kama ya mchuchu flani hivi nayemjua.....
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ya muda huu wanajamvi. . . Kuna kitu kimoja kikibwa ambacho kuna haja ya kukitafutia muafaka, , ,si kingine, ila ni kipi kinacho mu'influance Mtu kuangalia filam kati ya story au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Manny Pacquiao aamua kukamata attention ya wapenzi wa masumbwi ulimwenguni kote. Atoa Nyimbo / video akiimba kwa hisia kali...yenye vionjo vya kutia moyo wafilipino waishio katika maisha magumu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
napenda sana kuangalia maseries ..kuna madude kama HUMAN TARGET(episode ya kwanza na linaendelea) THE EVENT( hili lipo episode ya kwanza season ya kumi na linaendelea-hili dude ni aibu kama...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo kaachia nyimbo ake mpya nimebahatika kuisikiliza mara moja ila sijamaliza nimeipenda ghafla kwa sababu kijanaa anajua kaimba vizuri nyimbo inaitwa nitazoea nimeipend kuliko ile ya kwanza basi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hashime kwenu! Nautafuta wimbo uitwao "I Need Answer", nimemsahau mwimbaji. Ni 'ngoma' za 80's, Ulikuwa unaenda sambamba na "Change On Me" wa Cynthia. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For those few of us who likes the boondocks animation. The theme song is made by Asheru. i like it and ofcoz its my ringtone. i got the uchambuzi of the track; The song embodies the spirit of the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi yupo wapi mtu huyu. Amepotea sana! Ukisikiliza rap zake akiwa na Chuchu Saundo unaweza kumtafuta usiku na mchana! Ana kipaji huyu kijana ila hajapata platform tu!
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna movies flani huwa zina budgets za kawaida, waigizaji wa kawaida, promo ya kawaida, karibu kila kitu kawaida ila hujawahi kujutia kuziona wala hutajali kuziona tena na tena. Zangu ni hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maadili mema ya taarab yanaharibiwa na mduara na baikoko utakuta wanawake wanajidhalilisha sana cha msingi wasanii wazingatie maadili na taarabu ibaki na maadili yake mazuri
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Jamani nauliza ni wapi hapa Dar naweza fungiwa Music system nzuri kabisa kwa bei nafuu? Nitashukuru sana kwa maelekezo. George.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom