Jamani nauliza ni wapi hapa Dar naweza fungiwa Music system nzuri kabisa kwa bei nafuu? Nitashukuru sana kwa maelekezo.
George.
Mkuu nenda pale fire, au Kwa maelezo sahihi ukiwa unaingia mtaa wa Msimbazi kama unaenda club ya Simba Kama unatokea Fire.mtaa wa kwanza mkono wako wa kulia, ingia huo. Tembea mpaka pale msikitini ( unaitwa Shadhir ule msikiti) ukifika pale muulizie mtu anaitwa Musa. Huyu jamaa wacha tu kwamba anajua kufunga mziki wa kwenye magari, pia anauza na vifaa vya mziki hapo hapo nyumbani kwake.Naamini tatizo lako hapo litakuwa historia.
Inawezekana wewe ndio Mussa mwenyewe

Kaka nashukuru sana, niytamtafuta Musa anifungie Music system