Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Apr 16, 2015 #1 Habari Tycoons na Mogul wa Muziki, Nime-attach wimbo hapa kwa yeyote anayeujua anitajie jina lake,nautafuta sana hii audio clip niliu-record redioni ulipopigwa. Thanks in Advance,The Cat. Attachments Unknown R&B.mp3 Unknown R&B.mp3 3.6 MB · Views: 85
Habari Tycoons na Mogul wa Muziki, Nime-attach wimbo hapa kwa yeyote anayeujua anitajie jina lake,nautafuta sana hii audio clip niliu-record redioni ulipopigwa. Thanks in Advance,The Cat.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Apr 16, 2015 #2 Nyani Ngabu lazima anajua tu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
GRANDPUBA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 751 Reaction score 792 Apr 16, 2015 #3 Hiyo ngoma inaitwa "Hooked on you" imepigwa na kundi la SILK.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Apr 16, 2015 Thread starter #4 GRANDPUBA said: Hiyo ngoma inaitwa "Hooked on you" imepigwa na kundi la SILK. Click to expand... Mkubwa unatisha sana kwenye sector hizi za old xul ,GRAND PUBA - I LIKE IT.
GRANDPUBA said: Hiyo ngoma inaitwa "Hooked on you" imepigwa na kundi la SILK. Click to expand... Mkubwa unatisha sana kwenye sector hizi za old xul ,GRAND PUBA - I LIKE IT.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Apr 16, 2015 Thread starter #5 Tisha sana GRANDPUBA 1995 Hiyo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016