ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Leo kaachia nyimbo ake mpya nimebahatika kuisikiliza mara moja ila sijamaliza nimeipenda ghafla kwa sababu kijanaa anajua kaimba vizuri nyimbo inaitwa nitazoea nimeipend kuliko ile ya kwanza basi nenda...nyimbo kaitendea haki
Please najua watu humu teari mnayo hio nyimbo tupeni hapa tusikilize wadau waje na maelezo yao kijana yupo vizuri akiendelea hivi tuzo zina muhusu na akina fulani wajipange...fanyeni ku attach hapa basi humu si ndo kila kitu ama neneeeeeee