Kuelekea Pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather, Manny Pacquiao aleta Headline Mpya! !

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Manny Pacquiao aamua kukamata attention ya wapenzi wa masumbwi ulimwenguni kote.

Atoa Nyimbo / video akiimba kwa hisia kali...yenye vionjo vya kutia moyo wafilipino waishio katika maisha magumu.

Pia nyimbo hiyo itatumika katika Pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather, pale atakapo kuwa anaingia ulingoni.

https://youtu.be/W7X7d3oOeC4
 
Money team........

Tutamkalishaa tuu huyoo
 
Manny Pacquiao aamua kukamata attention ya wapenzi wa masumbwi ulimwenguni kote.

Atoa Nyimbo / video akiimba kwa hisia kali...yenye vionjo vya kutia moyo wafilipino waishio katika maisha magumu.

Pia nyimbo hiyo itatumika katika Pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather, pale atakapo kuwa anaingia ulingoni.

https://youtu.be/W7X7d3oOeC4

Ametoa wimbo au nyimbo?

Kama ni nyimbo, ngapi?
 
Pacquao mpige kunguru wa zanzibar cha uoga huyo weather,kaingia choo cha kike safari hii,vile visingizio vyake vilivyosababisha kuahirishwa kwa pambano lenu karibia mara tatu kwishnei,sijui eti ooooh,tupime pacquao atakuwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu,aaaah wapi,mkono wa chuma wa kifilipino ni noma
 
Natamani Mayweather ashinde lakini pac naye yupo vizuri, fight bado ni ngumu kutabiri..ILA sijui kwanini watanzania , hatufanyi lolote popote, yaani sijui tunatatizo gani...inasikitisha, sisi ni mashabiki tu wa wenzetu, kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom