Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna nyimbo moja hiv naitafuta japo sifahamu jina na walioimba lakin nakumba baadhi ya maneno kama vile WHEN I CRYING AND SMILE hiyo ngoma n wajaimaca raggae jamaa moja anasuit nyembamba hiv kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Good morning. Kwa yeyote mwenye series ya jumong plz naomba anisaidie. Kwa aliye Dar tu naweza kumfuata alipo.Asante
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na makundi mengi ya bongo fleva yaliyokuwa yanafanya vizuri. Miongoni mwa makundi hayo ,TMK wanaume na EASTCOST team yalikuwa juu,.Makundi haya yalikuwa...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Wasanii wabongo kwa sasa ni kama wanashinsdana ivi kufanya video Kali. Ukweli wanafanya vzr katika kuhakikisha wanatoa video Kali za nyimbo zao. Hivi karibuni msanii Shetta ametoa video ya...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
mimi ni mmoja kati ya mashabiki wa Afande selle, huwa nakunwa sana na mashahiri ya huyu jamaa ktk tungo zake, pia leo nimemkumbuka kwa vile kuna jamaa yangu kanisimulia story moja inayofanana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi ni nyimbo mpyampya (kuanzia mwakajana hadi sasa) ambazo zikipigwa mahali popote lazima nitikise kichwa; 1. Kanyaboya---Mesen Selecta 2. Nimempata---Pam D ft Mesen 3. Chelewa---Navy Kenzo...
0 Reactions
23 Replies
19K Views
Bandugu, Naomba kwa mwenye nyimbo zifuatazo anisaidie namna ya kuzipata (preferably online maana ukiniambia niende Mtaa wa Kongo ama Buguruni sitaweza maana nipo ughaibuni): Sanza Misato (Shaba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale mliofika bagamoyo mtakua mnaifahamu club matata inaitwa lusona ndani ya milenium hotel.ni club ambayo imekua maarufu sana ambapo kila mwisho wa wiki utawakuta watu maarufu kibao kama...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau msaada nataka nitumie sm yangu ku download movies
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna baadhi ya nyimbo ni kali sana hlf zina bonge la meseji km hii click the link https://www.youtube.com/watch?v=5y_KJAg8bHI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I've waited for this coming April....Lord knows how long man. 3 main reasons: I love them series man, from the 1st one. I would really love to see how James Wan did it. Binafsi simwamini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Currently niko Bukoba, jana pasaka kulikuwa na mashindano ya kushake na kuimba maeneo ya beach, msanii Songa wa Tamaduni Music na M-Rap walikuwa na show kwenye Club moja maarufu huku, wakaja...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naweza kusema haya ni mapinduzi ya kweli katika bongo fleva big up KIBA. kwa hili la kupi show pale DAR LIVE kwa LIVE BAND kweli umetisha kaka huu ni mfuniko kwa wasanii wote tunaowajua akiwemo...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Salamu wakubwa, nilikuwa nauliza kwa aneweza kunisaidia kuupata wimbo wa tanzania umeimbwa na wahindi ni wa kitambo kidogo, mbaya zaidi siujui hata jina lake, tbc taifa ndio wanaoupiga mara...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Jamani naombeni kujua wapi wanafundisha martial arts bongo
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Beyoncé and Chris Brown on the same song? No, you're not dreaming. This actually happened. Queen Bey and CB appear together on the "Jealous (Remix)," where Brown adds his vocals to the track that...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Naona sikuhizi umbea hasa unaohusu celebrities umehamia huko, Facebook na Twitter zimetelekezwa, show game zote ziko huko, mara sijui team wema,team kiba,team lemutuz(lol) etc zoote zipo huko, in...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Audio: Jinsi Chidi Benz na Cassim walivyowashiana Club Billicanas – Bongo5.com
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Huyu dada anaeitwa Wema Sepetu anaonekana akionyesha tabia na maisha yake ya kila siku kupitia kipindi hiki cha In My Shoes kinachoonyeshwa kupitia EATV. Hakuna cha maana zaidi ya kuonyesha jinsi...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Back
Top Bottom