The Success Of Fox's 'Empire' Reveals A Few Do's And Don'ts For TV
i Taraji P. Henson, left, and Terrence Howard star as Cookie and Lucious Lyon in the Fox TV show Empire.
The TV...
Kololo kolo mawena na tip
Sheneida
(verse1)
Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka
Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka
Weka bia tatu kwenye meza pale
Hiyo bili atalipa babu tale...
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya Bongo Movie na Nigerian Movie? Au unawashaurije wasanii wetu, wafanye kitu gani ili movie ziwe za kimataifa zaidi, yaani ziuzike huko ulaya, Amerika hata bara...
Meneja wa muda mrefu wa kundi la muziki wa kizazi kipya la Tiptop Connection,Abdul Taletale aka Abdul Bonge ameaga dunia. Abdul Taletale ambaye ni kaka wa Babu Tale atazikwa mkoani Morogoro...
Guyz ni nyimbo gani ikipigwa club ukiwa huko lazima usimame kucheza iwe ya kibongo bongo au ya mbele I mean ya kizungu lengo nataka kujua zile nyimbo ambazo zina pigwa sana club kwenye madisco...
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote...
NIKUSAIDIAJE.
Umesahau ulipotoka hujui unapokwenda,
ukapata kiburi kuona mi nakupenda,
nilikutamini na letu penzi kulienzi,
na leo siamini kama umelisaliti mpenzi,
kumbuka nilikukuta kijijini...
Nimepata bahati ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii shetta lakini nimepata shida kuutofautisha na wimbo wa msanii toka nigeria anayefahamika kwa jina la runtown aliyemshirikisha davido unaoitwa...
Kuna nyimbo ya hawa wasanii wa nigeria ya patoranking kamshirikisha tiwa savage kwenye hio nyimbo kuna sehemu wanaimba mistari ya nyimbo fulani hivi ya R&B ya zamani sana ya kizungu sasa naomba...
Jamani hawa clouds wanaboa saaaaana wameanza tabia mbaya mno ya kutumia nyimbo za watu sijui wanawapa nn wanazipiga remix ili kuipa promo redio yao wanaboa sana hivi redio hii ina wanataaluma...
Dah! Sijui kama wana jf wenzangu mmeshawahi ona hii kitu.
http://m.youtube.com/watch?v=r_NKP070B6c .
video kwa hisani ya NTV Kenya.
Nimecheka kidogo! Lakini sikujua inamaanisha nini..?
Kiasi cha wiki mbili tu zilizopita endapo pangetoea wa kuniuliza nawafahamu waigizaji wangapi wa Kihindi, jibu lingekuwa mmoja tu, Amitabh Bachchan! Na kama angeendelea kunitaka nitaje japo filamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.