hot movies and series..wadau tuhabarishane

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
napenda sana kuangalia maseries ..kuna madude kama HUMAN TARGET(episode ya kwanza na linaendelea) THE EVENT( hili lipo episode ya kwanza season ya kumi na linaendelea-hili dude ni aibu kama umeangalia 24 na preason break utaziona za kipimbi tu(za kitoto).kuna LAW AND ORDER -CRIMINAL INTENT-hii kitu ni detective movie nasahau hadi kula kama newton.THE HOUSE..THE MIDDLE; BIG BANG THEORY;WIPE OUT; LIVE TO DANCE; THE GREYS ANATOMY: na nyinginezo..natumai mtanimwagia maseries makali sana hapa..kwa wale wenye matatizo ya kudownload wewe nipe series mm ntailownload then ntakupatia ..series na sio movie moja tu.
 
Mkuu katika hizo maneno mie ni mgonjwa kabisaaa (homaaa),napenda zaidi series za kijack bawer,prison break pia imetulia.Nimeangalia The Event,jamaa wanajitahidi lakini naona kama wamesitisha kutoa episodes,mie nimeishia episode ya kumi ya season 1.Hii series imetulia hasa story yake na inahitaji writers wenye upeo wa hali ya juu.Nina wasiwasi wakawa wamefika mwisho( yaani wakawa wameshindwa kuindeleza). The Human Target nayo si mbaya,ingawa sipendi series zisizokuwa na mwendelezo wa matukio.FRINGE nayo si mbaya kuangalia ukiwa unasubiria season 9 ya 24hrs.Kuna STRIKE BACK,hii nayo ni nzuri ila wameshindwa kufikisha mwisho,mie nimeangalia episodes 6 tuu.
Pia kuna The Vampire Diaries,hii pia inatizamika.Niliwahi pia kuangalia The Legend Of the seeker-kwa wanaopenda mambo ya juju na ndumbaz,hii series ni nzuri kuangalia,binafsi niliipenda.
 
Do you like Courtroom brawling?
Learn that Justice is not always fair by watching "The Practice, season 1-8". It is the best series by David E.Kelly, much better than the comical Ally McBeal and Boston Legal. More captivating than Law and order.
 
Napenda sana aina ya movie kama 24hrs,prison break, Nikita, Allias, MI5, Jericho, Sleeper Cell na traveller sijui imepotelea pamoja na Vanished nadhani hizi hazina mambo ya kichawi na kisayansi kama Lost na vampire Diary mkuu Ivuga kama hutajali nijulishe hizo unazotaja kama kuna ambazo zinafanana na hizo nilizozitaja hapo mwanzo nijulishe na kama hutajali utaniambia nitazipataje.
 
Nimeanza kucheki human target. Sio mbaya, wananitahidi.ila series ya storie inayoendelea kama 24 ni nzuri zaidi. Nitaitafuta the event
 
Lost ilikuwa ni nzuri sana, lakini inabidi ujipe muda wa kuipenda maana ina episodes zinaboa unaweza kukata tamaa lakini ukimaliza season four huwezi acha tena.
 
we unayedai the event iko season ya kumi utakuwa na time machine si bure. Vile vile 24 hairudi tena season iliyopita ndio ilikuwa ya mwisho sasa hivi wananegotiate movie deal wafunge kazi.
Human Target ni nzuri sema imekaa kama Burn Notice (highly recommend kwa wale ambao hamjaiona). Kuna series mpya kama The Cape, Detroit 1-8-7, Hawaii Five-0 hizi zote ni nzuri kwa kufurahisha macho.
 
aisee kuna series inaitwa "chuck" kama we ni mpenzi wa mambo ya technology ya compute utaipenda iyo ina maujanja ya kufa mtu. na nyingine ni "90210" aaah iyo pia noma talking much about maisha ya ujana college na celebrity life style iko poa sana.
 
Also kuna series kama Southland na White Collar ambazo ni nzuri sema hazipati buzz kama series nyingine.
 
aisee kuna series inaitwa "chuck" kama we ni mpenzi wa mambo ya technology ya compute utaipenda iyo ina maujanja ya kufa mtu. na nyingine ni "90210" aaah iyo pia noma talking much about maisha ya ujana college na celebrity life style iko poa sana.

Chuck niliacha kuiangalia walipoanza kuwainclude watu kama akina Morgan kwenye missions sasa hivi kila mtu anajua Chuck ni intersect/spy season one was the best wakati ambao hakuna mtu alikuwa anajua nini kinaendelea.
 
Human Target ni nzuri.. Kidogo writters wanatumia akili kulink kila episode na matukio ya nyuma

The event, mi nimeipenda kwasababu kidogo wamepangilia kila episode. Sithani kama kuna series zitakuja kupiku 24 au prison break, ila kidogo hii inaweza ikawa maarufu kama hizo. Ila sasa naona kama vile mitakwisha haraka sana.

Gossip Girl, Hii inastory nzuri. Unaweza kucheki kufurahisha macho
 
24, Prison break, Human target, NCIS LA, Nikita, Persons unknown, Boardwalk empire, The good wife, White collar, No ordinary family, The cape and 90210
 
we unayedai the event iko season ya kumi utakuwa na time machine si bure. Vile vile 24 hairudi tena season iliyopita ndio ilikuwa ya mwisho sasa hivi wananegotiate movie deal wafunge kazi.
Human Target ni nzuri sema imekaa kama Burn Notice (highly recommend kwa wale ambao hamjaiona). Kuna series mpya kama The Cape, Detroit 1-8-7, Hawaii Five-0 hizi zote ni nzuri kwa kufurahisha macho.

Naugonjwa wa kuipenda 24 hebu nipe uhakika ni kweli imekwisha? Na ni movie gani ambayo unadhani inaweza kuchukua nafasi yake mbali na prison break nikita, allias
plz.tujulishane
 
24 na preason break Kama hizi ni za kipimbi umeni encourage nitafute hizo nyingine kwa gharama yoyote
Napenda ma series pia
 
Lost ilikuwa ni nzuri sana, lakini inabidi ujipe muda wa kuipenda maana ina episodes zinaboa unaweza kukata tamaa lakini ukimaliza season four huwezi acha tena.

Hii Ngoma kila nikiaanza kuiangalia naacha sijawahi kuona uzuri wake ,hebu ngoja nijaribu kuvuta hisia nianze tena kuangalia
 
Naugonjwa wa kuipenda 24 hebu nipe uhakika ni kweli imekwisha? Na ni movie gani ambayo unadhani inaweza kuchukua nafasi yake mbali na prison break nikita, allias
plz.tujulishane
Duh 24 imeisha tangu may 2010 baada ya miaka 9..well walikuwa wana plan motion picture ya kuwrap up kila kitu kwa sasa sijui wameishia wapi, prison break was okay plus waliirefusha sana originally ilikuwa ni script ya movie.
 
24 mwaka jana wametoa series mpya mchezo unapigwa uk kaka, president ni heller (yule alikuwa waziri wa ulinzi ambaye bauer alikuwa anamtungua binti yake)
 
Check mizigo ifuatayo na uta appreciate
12 monkeys, Tyrant, da Vinci demons, The scorpions, Homeland, . .
Hiyo Mizigo yote ya maana,nitatupia nyingine soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom