Not fancy movies, but dope still

Not fancy movies, but dope still

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Kuna movies flani huwa zina budgets za kawaida, waigizaji wa kawaida, promo ya kawaida, karibu kila kitu kawaida ila hujawahi kujutia kuziona wala hutajali kuziona tena na tena. Zangu ni hizi, bila mpangilio maalum

Excess Baggage
Exc.jpg
Story iko poa, nilianza kumheshimu Benicio del Toro kwenye hii movie. Chistopher Walken pia alikamua fresh. Kifupi imesimama.



Poetic Justice:
PJ.jpg
Sababu kubwa naikubali hii ni uwepo wa Pac, alikamua kinoma, na mchizi wangu mwingine ambaye hakutokea sana, Tone Loc. Baada ya Juice, watu walijaribu kumchafua Pac kwa kutumia role aliyocheza mule. Kwenye hii, John Singleton alimpa Mshkaji nafasi ya kuonyesha upande wake wa pili ambao maadui zake hawapendi uonekane, caring, loving, responsible, human etc. Huwa naamini if Pac stayed alive and outta trouble, John angempa role ya Roman kwenye Fast & Furious, and boy! He woulda killed it, but it was never mean't to be. Tyrese is doing all justice to it pia. Heshima kwa John

Cocktail:
cocktail.jpg
Huwa sio shabiki kabisa wa movie za kihindi, ila hii niliiotea maeneo flani inaonyeshwa nikaikubali tu, sana sana vituko vyake.

Next Day Air:
NDA.jpg
Hii naipenda kwa sababu moja kuu, imeongozwa na King Benny. Pia story na mazingira si mbaya, + ina washkaji naowakubali. Mos Def japo briefly, ila alikamua sana kama kawa, Mike Epps chizi kama kawa, Omar Hardwick G'eed-up humo ndani. Pia role aliyocheza the hot Yasmin Deliz, there is something hotter about a ride-or-die chica with attitude man, i'm just saying.

Warrior:
Warrior.jpg
Bonge ya story, bonge ya message. Kama unapenda mixed martial arts mcheki Tom Hardy humo ndani, ni noma.

Judgement Night:
JN.jpg
Hii naikubali tu. Stephen Dorff, Cuba, Emilio Estevez, nuff said. Kupitia hii movie ndio niliwajua De La Soul na ngoma yao 'Fallin', moja ya ngoma ambazo hazikosi kwenye playlists zangu.

Friday Nights Lights:
FNL.jpg
Athletic movies are simply my kinda movies.

Girlfriend Hii hata siikumbuki fresh coz niliiona nikiwa chalii hivi, sema nakumbuka tu niliifurahia kinoma. Ukiniuliza movie niliyowahi kuikubali bongo, ntasema ni hii.

8 Mile
images.jpg
Movie bora kabisa kuhusu rap. M&M, Mekhi, na performance za hatari humo. Pia ngoma 2 zilizotokana na hii movie, '8 mile road' na 'lose yourself' huwezi kuzikosa kwenye playlists zangu. Big ups kwa Jimmy na timu yake.

Kwa sasa ni hizo, kama una zako pia karibu.
 
Back
Top Bottom