Zomboko - Mchambuzi wa muziki

Zomboko - Mchambuzi wa muziki

Che Guevara

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Posts
1,236
Reaction score
350
Mida hii imetokea nasikiliza kipindi cha Hizi Nazo ya Redio One Stereo.

Huyu mchambuzi Rajabu Zomboko ana data za kutosha kuhusu muziki, hasa zamani.

Nasikiliza anamuelezea jabali la muziki marehemu Majirani Rajabu. Kama sikosei ni baba'ake Rajabu Marijani.

Hivi kuna wataalam wengine kama huyu? Labda Masoud Masoud.
 
Masoud Masoud yupo vizuri sana lakini Zomboko ni habari nyingine kabisa jamaa ana data za kufa mtu ukisikiliza kipindi cha hauchoki.
 
Masoud Masoud yupo vizuri sana lakini Zomboko ni habari nyingine kabisa jamaa ana data za kufa mtu ukisikiliza kipindi cha hauchoki.
huyu jamaa akikupa soga za muziki, halafu ukute umetulia, unajisikia kama upo miaka hiyooooo!!!
 
Anakipaji cha kuongea jamaa.... Uongozi wa Radio one na ITV haukufanya makosa kumuajiri yaani ni jembe
 
Wapo vizuri ila masoud ni zaidi coz yupo kote kote iwe kizungu au kikongo au kiswahili masoud unamkuta tena hata majina anayatamka kwa lafudhi yake ikiwa ni mfaransa anamuongelea basi jina atalitamka katika ladha yake.
Kwa mtizamo wangu zomboko namkubali ila masoud ni bahari yenye kina kirefu.
 
Mida hii imetokea nasikiliza kipindi cha Hizi Nazo ya Redio One Stereo.

Huyu mchambuzi Rajabu Zomboko ana data za kutosha kuhusu muziki, hasa zamani.

Nasikiliza anamuelezea jabali la muziki marehemu Majirani Rajabu. Kama sikosei ni baba'ake Rajabu Marijani.

Hivi kuna wataalam wengine kama huyu? Labda Masoud Masoud.

Yupo jamaa mmoja anaitwa Maestro Mosha, huyu ni kiboko ile mbaya....huwa anatoaga somo kupitia Pride FM ya MT (Mtwara). Huyu ndiyo baba lao.
 
Kuna jamaa alikuwa TBC kipindi cha nyuma kdg alikuwa mkali sana kwa nyimbo za bondeni ingawa silu hizi simsikii..
 
Nilidhani huyu jamaa Zomboko hayupo maana sijamsikia tangu aache kisikia radio free Africa, ila jamaa yupo vizuri sana hasa akianza kutoa story za disco zamani hutaja watu wote kwenye zile bendi yaani hadi Raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom