Yuko wapi Mao Santiago

Yuko wapi Mao Santiago

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,201
Reaction score
2,003
Hivi yupo wapi mtu huyu. Amepotea sana!
Ukisikiliza rap zake akiwa na Chuchu Saundo unaweza kumtafuta usiku na mchana!
Ana kipaji huyu kijana ila hajapata platform tu!
 
Hivi yupo wapi mtu huyu. Amepotea sana!
Ukisikiliza rap zake akiwa na Chuchu Saundo unaweza kumtafuta usiku na mchana!
Ana kipaji huyu kijana ila hajapata platform tu!

Alipata bend nyingine kule Nairobi Kenya
 
Jina lake halisi ni Mohammed Wele, huyu jamaa nilizikubali sana kazi zake.
 
Enzi hizo kulikua na Mao Santiago na jenico flower mau, chuchu ilikua balaa chini ya mzee chuchu na omari mkali
Sikiliza kitu inaitwa mkataa pema
 
Back
Top Bottom