Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

wadau kwa waelewa wa studio za kurekodi nyimbo za injili yenye viwango vya hali ya juu mnisaidie kuijua na bei zake ikiwezekana. ...shukrani kwa msaada na ushauri wenu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Bila kuweka mbwembwe ambazo mara nyingi huharibu muziki badala ya kuboresha,ningependa watu kama Twanga pepeta na albamu zao kama Kisa cha mpemba,Ukubwa jiwe nk zirekodiwe upya maana ni nyimbo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
​for me these are the best of the best;they are not classics per-se its a mixture of CLASSICS,JAZZ,BLUES AND ROCK AND ROLL .kwa wale wadau endelea kutupia nyingine what a wonderful...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Kwa wale wapenzi wa Fast & Furious ambao hawakuwa na uhakika kama itaendelea. Jana Vin Diesel ame-confirm fast8 itakuwa in theaters April 14, 2017. Tukae mkao wa kula japo naona mbali kinoma.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Fast & Furious 7 becomes quickest film ever to reach $1bn globally Fast and Furious 7 led the US box office over the weekend for the third consecutive week, scoring another $29.1m (£19.5m) to...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Unahisi kwanini filam za kitanzani sio bora kama hollywood au nollywood?
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari gani wadau wa Jukwaa hili! Naomba msaada wenu wa hali na mali niweze kupata nyimbo hizi za WASANII wa zamani zenye radha tofauti ili nami niweze kukumbusha enzi kidogo; A. PEPE KALLE 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii video ya sophia ya ben pol mnaichukuliaje wadau
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa series hebu niambieni mnaona nini kinaweza kua ni common kwa waigizaji hawa 1.Lagnar Lothbrok(vikings) 2.Demon(vampire dairy) 3.T-bag(prison break) ⁴.Flok(vikings)
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau msaada juu ya hii swala?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu tumezoea kuangalia mashindano ya BIBI BOMBA, sasa kama ingekuepo BABU BOMBA unadhani ingefana zaidi ya bibi bomba. na katika babu bomba,wewe ungempendekeza nani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jipakulie ngoma kali ukaskilize
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bruce Lee was a phenomenon. When he emerged into stardom in the early 1970′s, the world was blown away. A martial artist at the top of his form, a captivating presence on film and in...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba msaada wa link ya kupigia kura kilimanjaro music awards 2015
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Eti kati ya Christian Bella na Tunda man ni nani mkali wa melodi hapa nchini Au nani unaye mkubali kuwa ni mkali wa melodi hapa Tanzania mtaje
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ukiangalia wasanii waigizaji wa sinema wa nje uwa wanaongea taratibu na wanaeleweka vizuri tu yaani movie hazina makelele na huwezi kuona wakipayuka hovyo hovyo. Hii ni tofauti na wasanii wetu...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wana jamvi, kama kuna mtu mwenye wimbo wa ndugu Che Mundugwao (marehemu kwa sasa, RIP) aniwekee/atuwekee hapa angalau tuburudike na kumuenzi Mwenzetu huyu. nimetafuta kwenye source zote nimekosa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wana-JF, naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye audio ya wimbo wa kimakonde 'kila munu ave na kwao' anielekeze jinsi ya kuupata au aniwekee hapa niweze kuu download. Natangulza shukran...
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Mayunga From Tanzania ashinda Airtel Trace Music Star Africa Mbele ya Jaji Akon.Akon amwagia Sifa nyingi sana.Apatashavu la kufanya kazi na Akon.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom