Stories VS Ditecors

Stories VS Ditecors

9mm

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
160
Reaction score
106
Habari ya muda huu wanajamvi. . .
Kuna kitu kimoja kikibwa ambacho kuna haja ya kukitafutia muafaka, , ,si kingine, ila ni kipi kinacho mu'influance Mtu kuangalia filam kati ya story au director???
Naomba kuwasilisha
 
Ni kama sijakusoma vizuri mkuu
Unamaanisha film huwa nzuri kwasababu watu wanampenda director(muongozaji) au wanapenda stori ya filamu?

Nadhani story na mpangilio wa matukio na ndio hufanya film kupendwa na wengi

Ingawaje wapo watu wanaipenda tu film keasababu ni ya director fulani au ni kwasababu ya starring fulani

Mfano mimi naamini movies zote alizocheza Denzel ni nzurik
 
Director kwa upande wangu. Director mzuri hawezi kubali kuongoza story ambayo haieleweki. Na pia kuna watu wanaweza kufanya vyote, kuandika na kuongoza, mfano Clint Eastwood na John Singleton.

Story inaweza kuwa nzuri ila Director akazingua, mfano Fast & Furious 7, muongozaji kiwango kidogo.
 
Even huyo director mzuri anatokea kwenye story nzur

Mimi namini kuwa story ndio inayomfanya mtu aangalie that movie,

That's why movie inawekewa matangazo at least upate kujua hiyo movie inaongelea nini au upate theme iliyopo katika movie husika

Kama director angekuwa ndio anauza movies kwa kisas kikubwa nadhan matangazo (trailer) yasinge kuwepo. . .
 
Back
Top Bottom