Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamasa talk show ni show mpya kwa wakazi wa Kagera,na watanzania wote kwa ujumla.Lengo ni kujadili changamoto mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi,lengo likiwa kusukuma maendeleo. Show inakutanisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawezaje kusikiliza kiss fm radio na rfa online. Mimi ni mpenzi wa kiss fm na rfa. Nimejitahidi sana kutafuta application hata tunel in haina.
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Hii ngoma ya nature bana ilinilizaga sana kipindi flani. Jinsi jamaa alivyo mkali wa chorus na kulalamika dahhhh kweli iliniuma sanaa nikifkiria huwa me nalia hata watoto wadogo wananicheka sana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
H
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Download / Listen - Nyandu Tozzy feat Cliff Mitindo, Deddy and Gosby Download / Listen - Nyandu Tozzy feat Cliff Mitindo, Deddy and Gosby - KWATA UNIT
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ngoma kwere sana mazee DopeFile.pk
1 Reactions
0 Replies
704 Views
Hawa watu wa futuhi hawajui maana ya komedi. Huu UJINGA ni komedi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salam aleykum ningependa kuomba mtu anisaidie kujua wapi nitapata nyimbo za chuchu sound ile ya akina mao santiago
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Kwa habari toka ofis ya uhamiaji na polisi mmoja pia amesema kuwa bwana huyo yupo Rumande kwa siku kadhaa kutokana na tuhuma za Utapeli. Kwa wengi wanaomfaham Mkongo huyu wamekuwa na malalamiko...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimekuja huku, na vina bila pozi Mvumbo ni kapuku, kama ze Bitozi Twende habari kwa vina, nina maana kuandika kwa kuchana Iwe habari za kina kinana, ama wana wanaolalama life imebana Hakuna...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani naombeni msaada hivi hii blue link naipataje YouTube? Maana nahitaji kuangalia London has fallen nashindwa au kama kuna link naweza itumia nikaangalia hii movie naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Samahani wakuu. Naomba mwenye wimbo mmoja wa kitanga unaitwa 'Nimdodo' afanye kuuweka hapa jukwaani watu tupate kuburudika. Nimejaribu kuutafuta mtandaoni bila mafanikio yoyote...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
J3,j4,j5 wiki mwezi mwaka, siku zenda mbele.....![emoji441] Hizo ni lyrics.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, kama mnavoona siku hizi hakuna matamasha yanayoshirikisha vikundi vya ngoma za asili kama zamani hivo kuhatarisha utamaduni wetu. Mie ni mpenzi wa ngoma za Kiswezi lakini sizioni zikipigwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Back
Top Bottom