WDMD-What did Magufuli do...

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,427
88,709
photo.jpg




nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980 , Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Nice idea lakini mtangazaji anaonekana anajifunza zaidi hayupo kiuhalisia zaidi she too artificial alafu audio si nzuri but camera works and the rest zimefanyika vema...Again kama ni tv show kwa audience ya watz Kiswahili ni bora zaidi kuliko kiinglishi....
Otherwise kamrembo ketu ni kazuri sana i see
 
BabaTina unamjadili mtu katumia lugha usiyoitaka na kweli huijui. Ni Kiingereza. Kiinglish ni lugha gani?

Nyie ndio vilaza mliokimbia umande. Tuachieni sisi.

Hujakatazwa. Anzisha na wewe utangaze chako, tuone kama na wewe hutaonekana kwamba unajifunza.
 
BabaTina unamjadili mtu katumia lugha usiyoitaka na kweli huijui. Ni Kiingereza. Kiinglish ni lugha gani?

Nyie ndio ****** mliokimbia umande. Tuachieni sisi.

Hujakatazwa. Anzisha na wewe utangaze chako, tuone kama na wewe hutaonekana kwamba unajifunza.
Nadhani comment zangu zilikuwa ni kusaidia kujenga zaidi wazo kuliko ulivyodhani...
And if you real think I escaped the thing u termed it as umande!!! Then you should sit down and think again....

Nikirejea kwenye topic....Camera work is super....presenter ni mrembo kabisa kabisa ( in Magu Voice), But her presentation is fake, she real needs to work on it. Coz I have seen the kind of show like this nadhani ni kutoka west africa countries nadhani and a lady presenter of that show resembling this one...ni charming "kabisa kabisa" anafahamu fika namna ya kuibuka kwa mbwembwe na kuwasilisha mada ipasavyo. Sababu its a kind of infotainment show with a mixer of humor inside...So, she has to be for real.
Na wewe kama ni muhusika nakupongeza wazo ni zuri lakini fanyieni kazi mapungufu hayo madogo ambayo pasi na shaka wengine pia wanaweza wakawa wameona! And then bring it out to our screen for entertainment plz..!

Asante kwa usikivu wako
 
Back
Top Bottom