Mambo yataanza hivi pale ndani ya uwanja wa taifa wao wamezoea kupaita ccm tangani kitachimbika kuanzia mishale ya saa nane hadi saa kumi hivi then kama yule mdada wanamwita chemical ama kweli...
Taarifa ya aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, kwa vyombo vya habari leo imeeleza kuwa, Sitti atazindua kitabu kinachoelezea faida na hasara ya mitandao ya kijamii.
Amesema pamoja na...
Najua post yangu itamuuma sana Lala1 ila ndo ukweli
Mr blue kapita...Lundega kapita..Tid kapita...Jumbe kapita...Kanumba kapita...Mkongo kapita...Petiman kapita...Diamond kapita
..Mkongo...
Unaweza ongeza...
1. "Bond.James Bond-Bond Film
2." Martini, Vodka Martini shaken not stirred "- Bond Film
3. " I'll be back- Terminator
4."So you guys Police?" Hahaa"- Dukes of Hazzards
5." Rendo...
"Flawless"
There’s got to be more
Than going back and forth
From doing right to doing wrong
‘Cause we were taught that’s who we are
Come on get in line right behind me
You along with...
Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa...
Kuna nyimbo I think Ni Nigeria lyrics zake Ni I think hivi.
I'm for real I'm for real girl I want you to know that,
Ooh babe when I look into your eyes I see.
My boo boo
When I look into your eyes...
Habari ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote mnaopenda maendeleo ya taifa letu teule.
Dhumuni la uzi huu ni kuhoji mwenendo unaoonekana katika kituo cha televisheni cha Clouds TV hasa...
Jamani naombeni msaada please anaeweza kunisaidia hii movie sikumbuki ni ya mwaka gani but amecheza marehemu steven kanumba,emmanuel myamba pamoja na nancy okoye wa nigeria na wengine wengi,aise...
Mnaongea mnapishana, anapoongea Salama huku unasikia saut ya Flavian Matata anaongea Muba mdomo unacheza wakati sauti inayosikika ya salama akiuliza kitu yani picha na matendo yenu vipo tofauti.
Nahitaji nyimbo za mobb deep, KRS One, Immortal technique, EPMD, Wutang, Mossdef, Talib kweli, canibus, Pac, big, tribe called quest, Guru Ganstrar, Rakim, na wengineo lkn old sch hip hop...
Kuna harus hapa mtaani kwetu wanapiga singeli hizo bit zina ujazo mkubwa sana ni balaa.
Nliangalia uswaz kipind cha zembwela uswaz kuna jamaa alikuwa anatengeneza bit sasa ukichek vifaa vilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.