Kwa mwana JF yeyote mwenye nyimbo za Emmanuel Nkulila na mwenye roho nzuri ya kusaidia wengine naomba anitumie nyimbo hizo inbox. Usinitumie link tafadhali, nitumie clips. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.