Yuko wapi Djuna Mumbafu?

Yuko wapi Djuna Mumbafu?

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,091
Reaction score
2,295
Huyu Jamaa anaitwa Bileku mpasi au djuna mumbafu,alikuwa ni rapa wa marehemu pepekalle.Mara ya mwisho kumsikia ni pale alipotoa Album yake kwa jina la djuna one,toka hapo sijamsikia tena Mwenye latest news kumhusu,tafadhali atujuze Mashabiki wake
 
Dah long time sana hata papy Tex.Sijui wamepotelea wapi hawa watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom