adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Hii muvi ni muendelezo wa sehemu 7 kuanzia part1 iliyotoka 2004 na kuendelea hadi kufika part7 ni muvi iliyojaa ubabe,vitisho na mauaji ya kutisha!
stori ya hii muvi haiko katika part 1 hivyo hadi utazame zote ndo utaelewa plot ya muvi nzima.
Ni stori ya mzee anaitwa jigsaw kama alivyoitwa katika muvi hii.
Huyu mzee alikuwa na mke wake anaitwa jill ambaye alikuwa na kituo cha kusaidia waathirika wa madawa(sober house).mzee hakuwa na uwezo wa kuzaa hivyo mkewe alipandikiziwa mtoto sababu mzee alihitaj mtoto.kwa bahati mbaya mimba ilitoka baada kupigwa na teja hapo hospital.
Hapo ndo balaa kubwa la dunia lilipoanza kisa mimba kutoka ilisababisha umwagaji damu hadi amerika ikatingishika sababu huyu mzee aliamua kutumia taaluma yake ya civil engineering kukamata wahalifu na wala rushwa kisha kuwahukumu kwa kuwawekea mitego mikali ambayo wengi walishindwa
Huku akimtumia dectective hoffman na dr gordon kukamilisha vita yake kuanzia kwa mateja,mafisadi,wahalifu na wasaliti wa ndoa na aliwaua kinyama sababu alijua huko polisi waliachwa huru kimakosa.
Ni muvi ya kinyama haijawahi kutokea duniani SAW(msumeno)