Ibaki story: New song from Mavoko WCB

Dah bila unafiki, Wimbo ni mbaya sana, hiv kweli na ushindan uliopo mavoko ndiyo kaamua kutoa hii ngoma? Pole yake aisee
 
Nyimbo nzuri, ila kwa sababu ya timu zetu upande fulani lazima watasema mbaya. Nyimbo nzuri tofauti na ile aliyotoa NAIMANI ikabuma hii nzuri.
 
Nyimbo nzuri, ila kwa sababu ya timu zetu upande fulani lazima watasema mbaya. Nyimbo nzuri tofauti na ile aliyotoa NAIMANI ikabuma hii nzuri.
Kweli tunatofautiana.. Naimani mi naona ilikuwa nzuri ila ilikosa promo!

Ila hii hapana, ya kawaida sana!!
 
Hii track kiwango cha chini kwa viwango vya WCB,cha msingi anazo nyimbo nzuri za zamani ambazo zitambeba
 
binafsi naona wa kawaida, sio mbaya but sio nzuri sana kama navyotegemea kwa mavoco
 
Back
Top Bottom