Van Damme Alivyocheza Break Dance Akiwa na Shabba Doo na Boogaloo Shrimp.

Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
4,627
6,562
Nianze kwa kusema nilianza kulijua jina la Jean Claude Van Damme baada ya kumwona akiigiza katika filamu ya No Retreat, No Surrender aliyoigiza mwaka 1986.

Baada ya kuigiza picha hiyo Van Damme aliendelea kuigiza katika muvi mbalimbali kama Double Impact, Kickboxer, Desert Heat (Inferno), Bloodsport, Timecop, In the Hell, Double Team n.k. na kufanikiwa kupata umaarufu mkubwa.

Kwa wasiojua ni kwamba kabla Van Damme hajavuma sana katika uigizaji wa picha za mapigano alikuwa ni mshabiki mkubwa sana wa muziki hasa kipindi kile cha staili maarufu katika miaka ya themanini 'Break Dance".

Kutokana na mapenzi yake aliyokuwa nayo katika staili hiyo aliwahi kushiriki kama mmoja wa dancers walionogesha video/movie iliyojulikana sana enzi hizo hizo ikiitwa "Breakin' na hiyo ilikuwa ni mwaka 1984.

Katika movie hiyo ya muziki wa staili ya Break Dance kulikuwa na wachezaji kadhaa wazuri lakini kati yao kulikuwa na watatu ambao ndiyo walikuwa maarufu zaidi hadi huku Tanzania ambao ni Shabba Doo (mwenye rangi ya kizungu na kiafrika, akiwa mkubwa zaidi kiumri), Boogaloo Shrimp (mwenye rangi ya kiafrika kabisa na maarufu kwa kucheza na mfagio katika movie hiyo, piamdogo zaidi kiumri) na Lucinda Dickey (yule mwanadada wa kizungu).

Katika movie hiyo Van Damme ameonekana akicheza na wakali hao kwa uwazi zaidi hasa wakati wimbo wa "Freak Show On The Dance Floor" kutoka kwa The Bar Kays ulipokuwa ukipigwa. Van Damme anaonekana akiwa amevaa mavazi ya kimichezo ambayo ni kichupi na singlet vyote vikiwa ni vyeusi.

Najaribu ku upload kipande cha movie hiyo kinachomwonyesha Van Damme lakini sijafanikiwa ila kwa atakaependa anaweza kutazama youtube kwa kuandika jina la wimbo niliotaja hapo juu.
 
images-115.jpeg
 
namkubali sana dame hasa katika zile movie zake kama
BLOODSPORT dame na boloyank
A.W.O.L dame anatoloka jeshini
HARD TARGET dame malasta
SYBORG dame msalabani
UNIVERSAL SOLDIER dame na adolph
bila kusahau double impact vandame anapigwa DOSI na kakaake ALEX mpaka TV inazima araf inawaka a.k.a inajirestart

wazee wenzangu wa VIBANDA UMIZA mtakuwa mmenipata vema

R.I.P mkandala
 
Nianze kwa kusema nilianza kulijua jina la Jean Claude Van Damme baada ya kumwona akiigiza katika filamu ya No Retreat, No Surrender aliyoigiza mwaka 1986.

Baada ya kuigiza picha hiyo Van Damme aliendelea kuigiza katika muvi mbalimbali kama Double Impact, Kickboxer, Desert Heat (Inferno), Bloodsport, Timecop, In the Hell, Double Team n.k. na kufanikiwa kupata umaarufu mkubwa.

Kwa wasiojua ni kwamba kabla Van Damme hajavuma sana katika uigizaji wa picha za mapigano alikuwa ni mshabiki mkubwa sana wa muziki hasa kipindi kile cha staili maarufu katika miaka ya themanini 'Break Dance".

Kutokana na mapenzi yake aliyokuwa nayo katika staili hiyo aliwahi kushiriki kama mmoja wa dancers walionogesha video/movie iliyojulikana sana enzi hizo hizo ikiitwa "Breakin' na hiyo ilikuwa ni mwaka 1984.

Katika movie hiyo ya muziki wa staili ya Break Dance kulikuwa na wachezaji kadhaa wazuri lakini kati yao kulikuwa na watatu ambao ndiyo walikuwa maarufu zaidi hadi huku Tanzania ambao ni Shabba Doo (mwenye rangi ya kizungu na kiafrika, akiwa mkubwa zaidi kiumri), Boogaloo Shrimp (mwenye rangi ya kiafrika kabisa na maarufu kwa kucheza na mfagio katika movie hiyo, piamdogo zaidi kiumri) na Lucinda Dickey (yule mwanadada wa kizungu).

Katika movie hiyo Van Damme ameonekana akicheza na wakali hao kwa uwazi zaidi hasa wakati wimbo wa "Freak Show On The Dance Floor" kutoka kwa The Bar Kays ulipokuwa ukipigwa. Van Damme anaonekana akiwa amevaa mavazi ya kimichezo ambayo ni kichupi na singlet vyote vikiwa ni vyeusi.

Najaribu ku upload kipande cha movie hiyo kinachomwonyesha Van Damme lakini sijafanikiwa ila kwa atakaependa anaweza kutazama youtube kwa kuandika jina la wimbo niliotaja hapo juu.
 
Nianze kwa kusema nilianza kulijua jina la Jean Claude Van Damme baada ya kumwona akiigiza katika filamu ya No Retreat, No Surrender aliyoigiza mwaka 1986.

Baada ya kuigiza picha hiyo Van Damme aliendelea kuigiza katika muvi mbalimbali kama Double Impact, Kickboxer, Desert Heat (Inferno), Bloodsport, Timecop, In the Hell, Double Team n.k. na kufanikiwa kupata umaarufu mkubwa.

Kwa wasiojua ni kwamba kabla Van Damme hajavuma sana katika uigizaji wa picha za mapigano alikuwa ni mshabiki mkubwa sana wa muziki hasa kipindi kile cha staili maarufu katika miaka ya themanini 'Break Dance".

Kutokana na mapenzi yake aliyokuwa nayo katika staili hiyo aliwahi kushiriki kama mmoja wa dancers walionogesha video/movie sana enzi hizo hizo ikiitwa "Breakin' na hiyo ilikuwa ni mwaka 1984.

Back
Top Bottom