Sio siri wakuu, hii nyimbo inanipeleka mbali sana kihisia kila nikiisikiliza. Ni lazima tukumbuke kusema asante kwa Mungu, whether tumepata au tumekosa. Kwa maana being alive itself ni jambo la...
Mcc ilikuwa movie fup na tamu ikaisha mapema kwa majibu mazuri kuwa hatutereki,ikaja movie lugumi,ikatokea movie ambayo haikufanya vizuri ya watu Fulani kuwatetea wanaotumbuliwa,movie ya dau...
Wakuu kuna tangazo la coca cola linwekwa sana ITV naomba mwenye kuifahamu nyimbo ambayo biy yake imetumika kwe tangazo lile mwenye kuifaham naomba msaada please,
Somebody tell me about trap music.Siku hiz naskiaga Kuna aina ya mziki trap music.Najua kidogo Tu Kama trap soul,trap rap,edm, na style Yao ya kuimba Kama turn twister.
Wasanii Kama future,Fetty...
Habari zenu wana JamiiForums,
Kama kuna mtu alishawahi kuusikiliza au kuuona wimbo wa nzige unoitwa chumba cha mtihani namuomba akoment baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo .
Verse 1...
Wenge BCBG mwaka 1999 walitoa album yao inayoitwa TITANIC yenye nyimbo kumi,hakika labum hii kwangu mimi ndio album bora ya rumba kewahi kutokea.Kila wimbi utakaousikiliza hutamani uishe zaidi...
Je unapenda kuwa mwanamziki Tanzania timiza ndoto yako?
Habari za Jioni waungwana,
Baada ya utafiti usio rasmi kwa hapa Tanzania, hasa hasa jiji la Dar es salaam, kuna vijana wengi sana wakike...
Nimesikiliza miziki/nyimbo zao nikagundua hawa jamaa walikuwa wakali sana.
Franco Luambo Makiadi akiwa na TP OK JAZZ alirekodi miziki mingi iliyotamba si Africa tu bali mpaka bara ulaya...
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wasanii ambao watakiuka agizo la kufanya video za muziki na kuzitoa bila kukaguliwa na Bodi ya Filamu...
Wadau hebu leo tutoe ya moyoni kuhusu watangazaji wetu wa redio na televisheni.. Ni yupi anayekuboa zaidi kufikia hatua ya kubadilisha hata channel unapomsikia?
Kwa upande wangu ni watangazaji...
Tasnia ya filamu Tanzania(Bongo Movie) inazidi kukua kwa kasi, si tu nyumbani hata nje ya nchi watanzania wanazidi kung’ara. Safari hii mtoto wa kitanzania aitwaye Evan Byarushengo amabahatika...
Kitukio la kufungiwa kwa wimbo wa chura kumeendelea kuonyesha ni kwa kiasi gani hili taifa wenye mamlaka wamekosa umakini ( watu wasio na uwezo) kwenye taasisi muhimu na sehemu mbali mbali za...
Mjadala wa Wikienda: Tatizo siyo chura wala Snura; tatizo ni sisi wazazi. Wazazi watawajibishwa vipi?
Mbona kuna vitu vingi sana ambavyo vingine vinakera zaidi ya hili la chura; na wazazi...
Huyu anaitwa Charlie Puth mara ya kwanza nilimsikia kwenye wimbo wa Wiz Khalifa_see u again... ndo aliteimba ile chorus.. saiv ana album yake inaitwa Nine Track Mind... yuko vizur sana na ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.