Kili Music Awards mwaka huu kimya sana, miaka mingine washiriki huanza kutangazwa mapema ila mwaka huu mpaka leo mwezi huu wa sita unakwenda wa saba sioni dalili zozote za kuwepo kwa hizo tuzo.
Nilizungumza na Meneja wa matukio wa TBL akasema kuna mambo hayajaenda vizuri ambapo wanasubiri mpaka mwezi Wa kumi na moja (November) ndo zitafanyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.