inaonekana ni nzuri,mambo ya mexico au venezuela?
Nalog off
wamexico wako vizuri sana kwenye maswala ya tamthilia.Ni wamexco mkuu,iliwahi kuoneshwa na itv hapa tz so nilikosa kuona sehem za mwanzoni na mwishoni lakini pia bado natamani kurudia hata pale nilipo tazama tayari coz hii kitu ni yaukweli sana.
Nimekuelewa mkuu.Yeah wako poa sana ila kwa bahat mbaya mi sikuwahi hata kutazama tMthilia nyingine kutoka kwao ispokua hii tu.na nikatokea kuipenda sana.....washawasha
Ni wamexco mkuu,iliwahi kuoneshwa na itv hapa tz so nilikosa kuona sehem za mwanzoni na mwishoni lakini pia bado natamani kurudia hata pale nilipo tazama tayari coz hii kitu ni yaukweli sana.
Nenda kanunue cdjamnai jamani nami naiihitaji kwa gharanma yoyote. Sijui kama kuna tamthilia nzuiri kama hii na labda Camila. Wadau nilekezeni ntaipataje. na hakika watu wa media kama ITV wanapita tunaomba irudiwe!
Mkuu ungeweka link hapa au ungetoa maelezo Na wengine tuweze kuipata. Au unaiuza (upo kibiashara? )Nichek private hapa