NTOMBI MAHRUMBINI

NTOMBI MAHRUMBINI

mpuyango

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
60
Reaction score
68
Heshima yenu wana JF

Kama kuna mwenye historia ya huyu mwanamuziki anayeitwa Ntombi Mahrumbuni naomba anidadavulie kidogo maana leo nilikuwa nasikiliza radio moja hapa moshi nikasikia wanapiga wimbo wa huyu nguli wa muziki toka Afrika Kusini ikanikumbusha mbali kipindi hicho kule kwetu rombo kulikuwa kuna kitu kinaitwa "viarano" ambapo kila mwezi hujumuika pamoja kucheza mziki na basi bwana ilikuwa kama huna tape/ album ya huyu mwanamama basi lazima faini ikuhusu..
Mwenye nyimbo zake au historia yake naomba anisaidie tafadhali
 
Kokwani loko va tlela va ba mantonoro....Mantonoro meaning snoring (Xitsonga)

African Jazz Pioneers Mantonoro

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom