Tamthilia ya Days of our life

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,585
1,885
"Like Sand In Hour Glass So Are the Days of our life"




Waungwana kuna anaeikumbuka hii tamthilia nimeikumbuka sana hasa character wake like

Jennefer
Stephen demera
Jack
Naomi....etc
Sizani kama itakuja tokea tamthilia kama hii

Kwa wanaokumbuka...
 
Back
Top Bottom